Sirudii kukujibu kumbe ujinga wako huko hapo, ujui hata matumizi ya lugha, ukiwa Tanzania uwezi ukasema Simba ya Tanzania lakini ukiwa Kenya utasema Simba ya Tanzania, hata ningekua kwenye nchi za kiarabu nisingesema Al Ahly ya waarabu hapo nisingeweza kutofautisha, hapo ningesema ya Egypt, Ila kwa vile Niko nchi ambayo haipo miongoni mwa nchi za kiarabu Niko sahihi kusema hivyo.
Nilikua napata shida kukuelewa kumbe shida ni kutokujua matumizi ya maneno ya lugha.
Ukiwa katikati ya wahehe na wewe ni mhehe siwezi kusema Heijah mhehe ila nitataja kua we ni mhehe wa sehemu gani, Ila ukiwa katikati ya wachanga nitasema we ni mhehe haina haja ya kusema we ni mhehe wa sehemu gani.
Kama ujaelewa mtafute mwalimu wako wa lugha, maana kueleweshwa wajinga kama nyie shida kubwa sana hasa uwe mshabiki wa kidimbwi fc.