muokotamatunda
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,614
- 1,202
Umeona eeeh[emoji1][emoji1],jamaa vidomo domo harafu hawaangalii Nani wanaenda kutana naeKuna mtu anaenda kula 5
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona eeeh[emoji1][emoji1],jamaa vidomo domo harafu hawaangalii Nani wanaenda kutana naeKuna mtu anaenda kula 5
Sio kua unakosea wala Mimi sikosei, mfano mtu akiwa Nigeria akasema anacheza na Simba ya Africa mashariki hajakosea, na kama unataka nchi specific bado utakua hujakosea kwa sababu unataka kujua xaidiTuseme uko sawa kwa hiyo mimi nikiwa nje niite Simba ya waafrica au? Simba ya Tanzania. Na wewe kwa sababu uko nje ulitakiwa kusema Alhly ya Egypt ukisema waarabu nitakuuliza waarabu wapi LIbya? Egypt ni Africa
Tuko pamoja, we ukisema Al Ahly ya Egypt haujakosea na nikisema ya waarabu sijakosea, labda kwa mtu ambaye hajui Al Ahly inatoka nchi ngani anaweza kuuliza hao Al Ahly ni waarabu wa wapi? , Ningemjibu wa Egypt. Mi nimefanya kuikuza zaidi kulingana na ukubwa wa Timu.Tuseme uko sawa kwa hiyo mimi nikiwa nje niite Simba ya waafrica au? Simba ya Tanzania. Na wewe kwa sababu uko nje ulitakiwa kusema Alhly ya Egypt ukisema waarabu nitakuuliza waarabu wapi LIbya? Egypt ni Africa
Mimi nadhani tuna close gap kwenye hili, na mimi siongelei kwa ubaya ila tunajifunza. kuna wakati nilikuwa nchi fulani ya mbali sana sitaki kuitaja inaweza kuleta taswira ya kujikweza, nilikuwa nakereka nikiulizwa unatoka wapi nasema Tanzania halafu anakuwa haijui Tanzania ni wapi hii, najibu Africa EA bado anakuwa na mashaka natafuta kitu kikubwa nasema unaijuwa South Africa sasa sisi sio mbali sana nakuwa nakereka. Nadhani kwa mfano wako ukiwa Nigeria akiniuliza nitasema Simba ya Tanzania sasa kama haijui Tanzania nitamwambia Tanzania iko upande wa EA mpaka na nchi fulani na fulani. tukija Alhly tunasema team ya Egypt kama mtu haijui Egypt sasa tunajumlisha team za N. Africa lakini yote haileti maana nzuri. Simba ya Tanzania na Al Ahly ya Egypt akiwa mtu hajui aende kwa professor Google atafute.Sio kua unakosea wala Mimi sikosei, mfano mtu akiwa Nigeria akasema anacheza na Simba ya Africa mashariki hajakosea, na kama unataka nchi specific bado utakua hujakosea kwa sababu unataka kujua xaidi
Mimi kulileta hili ni kwa sababu ninao marafiki wa Tanzania wengi wenye asili ya kiarabu nadhani ilikuwa mechi ya Tanzania na Algeria mtangazaji akawa amekomalia hawa waarabu funga Tanzania moja waarabu 0 nadhani ile mechi Tz wakawa wanaongoza 2 ile kauli ikawa inawakera jamaa zangu kwanini asiseme Algeria 0 maana kuna wa Tanzania wengi tu wana asili ya kiarabu lakini ni wa Tanzania. ndio maana nikasema tuite Al Ahly ya Egypt maana Simba washabiki wake wengi ni wa Tanzania wenye asili ya waarabu.Tuko pamoja, we ukisema Al Ahly ya Egypt haujakosea na nikisema ya waarabu sijakosea, labda kwa mtu ambaye hajui Al Ahly inatoka nchi ngani anaweza kuuliza hao Al Ahly ni waarabu wa wapi? , Ningemjibu wa Egypt. Mi nimefanya kuikuza zaidi kulingana na ukubwa wa Timu.
Apo kwenye vipimo vya corona.........Refa wa pambano keshajulikana, anatoka Cameroon ni Sidi Aliom.
Ndiye aliyechezesha fainali ya (AFCON) mwaka 2019kati ya Algeria na Senegal
Mwaka 2014 alichezesha fainali za kombe la dunia lililofanyika Brazil na kuweka rekodi ya kuwa refa mdogo zaidi katika mashindano ya mwaka huo. Pia amewahi kuchezesha kombe la duniaa la vijana chini ya umri wa miaka20 na piaa kombe la dunia la vijana chini ya miaka 17 atasaidiwa wasaidizi 2 na refa wa akiba ambao wote watatoka Cameroon.
Kamishina wa Mchezo atatoka Kenya.
Msimamizi mkuu atatoka Sudan wakati mtathimini wa kiufundi wa masuala ya luninga atatoka Tunisiawakato ofisa wa masuala ya vipimo vya covid 19 atatoka Tanzania.
CAF imeona ukubwa wa pambano hadi ikachagua refa makini kuchezesha hili pambano.
Mashabiki wa Thimba mmeanza kuwa na insanity.Mwarabu atakufa tu atake asitake
Mtamuomba mkudeleoAcha nitoe utabiri wangu bado mapema wa kikosi Cha Simba Vs Al Ahly:
1. Aishi Manula
2. Shomary Kapombe
3. Mohamed Hussein
4. Paschal Wawa
5. Joash Onyango
6. Peter Muduhwa/Erasto Nyoni
7. Luis Miquissone
8. Thadeo Lwanga
9. Chriss Mugalu
10. Lary Bwalya
11. Clotas Chama
Formation 3:4:2:1
Huu mfumo ni mzuri wa kuwa na mabeki watatu nyuma Timu inakuwa na uwiano mzuri wa kushambulia na kuzuia rejea mechi ya Simba Vs Platinum pale kwa Mkaba...
YakokoyoKuna watu wanaenda kupigwa 8!
Both team will score ila simba ataaibika.Game itaisha hivi
Simba 2 Alahly 0
Tangu lini mkawa wa wahabeshi wakati juzijuzi mlikuwa wanigera, wazimbabwe na wakongo.Baada ya kutoka kufungwa na Bayern Munich nadhani hasira zetu sisi wahebeshi mnajua tutazimalizia wapi kituo kinachofuata