Kuelekea Kombe la CAFCC | Haya yafanyike kwa Simba SC dhidi ya USGN ili kuepusha ya Jwaneng Galaxy

Hii Game Simba Anapoteza.
KWA Matuta.

Kocha awafunde kupiga penalty la sivyo watapoteza

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Bila makandokando Simba hawezi shinda hii mechi!!!
 
Bila makandokando Simba hawezi shinda hii mechi!!!
Makandokando kama yapi unazungumzia kwenye mpira ambao unachezwa wazi uwanjani..?!
 
Sioni dalili yoyote ya Makolo kushin a hii mechi,wale wazee wamechoka
Sawa Wazee..Nyie wale Watoto wenu wamewafikisha wapi? Si mmepigwa Kombora moja tu mkapotea mpaka leo.
 
Maneno ya kijinga yakitamkwa kwa kizungu yanaoneka ya maana sana!sijui nani alituroga!
 
Kikubwa Kocha Aweke Kikosi Cha Kazi

Nitashangaa Kama Morrison Hata Anza Hii Mechi. Nitashangaa Lwanga Asipo Anza
 
Amejichanganya tu huyo Jamaa, Nadhani hajafuatilia kwa undani hatua hii Kombe la Shirikisho Barani Afrika.
HapanA, nilikuwa na haraka ya kuandika.
Ni kwamba, ushindi wa Simba utakuwa ndani ya penati.
Kocha ajitahidi kuwanoa vijana wake katika kupiga penati.

Wanaweza kupata penati na wakakosa, jambo ambalo linaweza tamatisha safari yao.

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Okay...Kumbe ndo kusudio lako...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…