Kuelekea Kombe La Dunia Nike waachia tangazo lao la mpira wa miguu lililogharimu Tsh. billion 150

Kuelekea Kombe La Dunia Nike waachia tangazo lao la mpira wa miguu lililogharimu Tsh. billion 150

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
Nike hivi karibuni wametoa tangazo kubwa la kimataifa la mpira wa miguu linaloitwa "Rip the Script" likiwakutanisha mastaa wakubwa duniani kama Cristiano Ronaldo, Kylian Mbappe, Erling Haaland, Ronaldinho, Zlatan Ibrahimovic, LeBron James, Kim Kardashian na wengine wengi.

Tangazo hilo limetengenezwa kwa ubora wa hali ya juu kiasi kwamba linafanana zaidi na filamu fupi kuliko tangazo la kawaida. Ingawa Nike hawajatangaza rasmi kiasi cha fedha kilichotumika, wachambuzi wengi wanaamini kuwa ni moja ya kampeni zilizogharimu fedha nyingi kutokana na idadi ya mastaa waliotumika na ukubwa wa uzalishaji wake.inakadiriwa zaidi ya Tsh billion 150

Kinachonivutia zaidi si gharama zake bali ujumbe wake. "Rip the Script" ni wito kwa wachezaji na vijana kwa ujumla kuacha kuishi kwa kufuata maandishi na matarajio ya wengine, bali waandike hadithi zao wenyewe kwa kujiamini, ubunifu na uthubutu. Bonge moja ya tangazo
1780665281037.png
NIKE
 
Nimemuona Palmer. Si hajaitwa kwenye squad yule?
 
Back
Top Bottom