Mima white cute
JF-Expert Member
- Nov 24, 2017
- 740
- 1,305
Wa pili
wote hawa ni waremboZikiwa zimebaki siku chache kuufanya mwaka 2017 ubaki story.
Leo napenda kuwakaribisha hapa kumtafuta mrembo wa JF wa mwaka huu.
Tunajua wapo wengi ila wanazidiana.
Hapa tunataka kumpata aliye zaidi ya wengine.
Mimi naweka hawa watano tuwapigie kura ila unaweza pia kuongezea kwenye List yule unayeona Anafaa.
Shunie
Demiss
Sakayo
Inna
emmyta.
Ongezea wakwako halafu tupige kura.
Karibuni.
Mbona jina lako hujawekacarbamazepine
jakitoo
Nsamaka
Sakayo
emmyta
stable woman joanah jje's cocochanel
mahondaw
Ntaendeleza list ngoja niwakumbuke
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Vradimirovic Putin anaweza kubeba taji.
[emoji12]Asee nilikusahau kidogo.
Sasa mkuu utachaguaje kitu usichokijua? Au ni avatar zao ndio zinashindanishwa?Kwani lazima mpaka niwaone mkuu.
A. Alykumwote hawa ni warembo
Tenaaaaaaaaa sanaaaa tumima white cute
Ngojaa nitafute popcorn kabisaaHatujui ana maana gani, labda aje atwambie kwanini kasema hivi,
Huu ni uchokozi wa nje nje kabisa huu.
Duh!mima white cute
HayupoNdo utuambie wewe sasa