Kuelekea kufunga mwaka, Ni yupi mrembo wa JF 2017.?!

Kuelekea kufunga mwaka, Ni yupi mrembo wa JF 2017.?!

Kutafutana maneno hapa mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hatujui ana maana gani, labda aje atwambie kwanini kasema hivi,
Huu ni uchokozi wa nje nje kabisa huu.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Zikiwa zimebaki siku chache kuufanya mwaka 2017 ubaki story.
Leo napenda kuwakaribisha hapa kumtafuta mrembo wa JF wa mwaka huu.
Tunajua wapo wengi ila wanazidiana.
Hapa tunataka kumpata aliye zaidi ya wengine.

Mimi naweka hawa watano tuwapigie kura ila unaweza pia kuongezea kwenye List yule unayeona Anafaa.

Shunie

Demiss

Sakayo

Inna

emmyta.

Ongezea wakwako halafu tupige kura.

Karibuni.
wote hawa ni warembo
 
Back
Top Bottom