Kuelekea Kumaliza Mwaka 2016: Wasanii Watatu Waliotamba Mwaka Huu

Kuelekea Kumaliza Mwaka 2016: Wasanii Watatu Waliotamba Mwaka Huu

Mwaka wa 2016 ulikuwa wa
1.Ali Kiba -Aje (Wimbo bora wa mwaka)
2.Darassa -Msanii bora wa HipHop
3.Ben Paul -Mwanamuziki bora wa R&B...Moyo mashine ni habari nyingine.
Wengine walikuwa wasindikizaji.
 
Akija mwingine hajamuweka dai niambie Niko huku nyuma
 
Mwaka wa 2016 ulikuwa wa
1.Ali Kiba -Aje (Wimbo bora wa mwaka)
2.Darassa -Msanii bora wa HipHop
3.Ben Paul -Mwanamuziki bora wa R&B...Moyo mashine ni habari nyingine.
Wengine walikuwa wasindikizaji.
Unamuachaje namba moja mond?
Kidogo
salome
make me sing collabo ya mwaka

samahani lakini
 
ha ha ha haa......... Kazi mnayo.
 
[HASHTAG]#diamond[/HASHTAG]
[HASHTAG]#darasa[/HASHTAG]
[HASHTAG]#ommy[/HASHTAG] dimpoz/janjajanja/kiki
 
Pesa madafu-jmoe
Siwezi-baraka de Prince
Mboga7-kabaysa
Waoane-chege
Too much-darassa
Chafpoz-billnass
Salome-ray&mind
Natafuta kiki-raymond
Hainaga usgemeji-manf
Sweet mangi-nikki
Arosto-g nako
Original-g nako
Lover boy-barnaba
Shika adabu yako-nay
Dume suruali-fa
Ntakupigia-stamina
JumlishA zooote unapata muziki ya DARASSA.
 
Back
Top Bottom