Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,614
- 17,626
Hivi ile aje yule jamaa alifanya naye remix ni wa wapi ?Mwaka wa 2016 ulikuwa wa
1.Ali Kiba -Aje (Wimbo bora wa mwaka)
2.Darassa -Msanii bora wa HipHop
3.Ben Paul -Mwanamuziki bora wa R&B...Moyo mashine ni habari nyingine.
Wengine walikuwa wasindikizaji.
Kuna ile sehemu anasema
Sijui nini nini you can teach me swahili ....
Like sawa sawa mambo vipi ...
Nimependa tu colabo yao