Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Unamuachaje namba moja mond?Mwaka wa 2016 ulikuwa wa
1.Ali Kiba -Aje (Wimbo bora wa mwaka)
2.Darassa -Msanii bora wa HipHop
3.Ben Paul -Mwanamuziki bora wa R&B...Moyo mashine ni habari nyingine.
Wengine walikuwa wasindikizaji.
Dar kweli bang mbaya1. Mr. Blue(simbaaaa...)
2. Donald Trump
3. Ccm-na wimbo wake "mbele kwa mbele", maafa, uchumi kukua etc
4. ........
5. ........
Ongezeeni