Kuelekea Kumaliza Mwaka 2016: Wasanii Watatu Waliotamba Mwaka Huu

Mwaka wa 2016 ulikuwa wa
1.Ali Kiba -Aje (Wimbo bora wa mwaka)
2.Darassa -Msanii bora wa HipHop
3.Ben Paul -Mwanamuziki bora wa R&B...Moyo mashine ni habari nyingine.
Wengine walikuwa wasindikizaji.
Hivi ile aje yule jamaa alifanya naye remix ni wa wapi ?
Kuna ile sehemu anasema
Sijui nini nini you can teach me swahili ....
Like sawa sawa mambo vipi ...

Nimependa tu colabo yao
 
Yule ni M.I wa Nigeria..

Sorry lakini maana haukuniuliza mimi [emoji23]
Teh teh asante Th Bold ..vitu vingine hata hutakiwi kuuliza , hata kuongea tu ni kwa wingi sijui kama ume notice ,Utasikia Nifah anakuambia Tuna kushukuru ,sio nina kushukuru
Au ukimuuliza Nifah unafanya nini utasikia tumelala dah
Hivyo wewe ukinijubu ni sawa na Nifah tu [emoji38]
 


Dah Mkuu Yamakagashi, sisi hatutii neno hapo wacha tu tukae kimya [emoji23] [emoji23]
 
Mwaka wa 2016 ulikuwa wa
1.Ali Kiba -Aje (Wimbo bora wa mwaka)
2.Darassa -Msanii bora wa HipHop
3.Ben Paul -Mwanamuziki bora wa R&B...Moyo mashine ni habari nyingine.
Wengine walikuwa wasindikizaji.
Ahsante Swahiba kwa orodha maridhawa.
 
Kama kichwa cha uzi kinavyojipambanua, wasanii watatu waliotikisa mwaka huu 2016 unaoisha ni
1. Darassa
2. Ally Kiba
3. Chegge

Acha ubishi, tupe na wewe list yako ya Wasanii unaoona walitamba kwa kazi zao mwaka huu unaoisha.
Ulizo chonganishi: Mussolin, hivi wasipokuwepo wasanii duniani kinaweza tokea nini? Kama hakuna madakitari kinaweza tokea nini?
 
Mimi hapo sijahelewa wasani wanao hongelewa in Tanzania tu, ama dunia mzima?
 
List yangu ya wasanii 3 bora 2016
1. Ali Kiba - Lupela
2. Nuh Mziwanda - Jike Shupa ft. Ali K
3. Abdu Kiba - kebe kebe ft. Ali K


Watoto wa kariakoo bhana![emoji23]

Mmefurukuta weeeee kumpambanisha Icon wa Afrika Simba na bwana yule rafiki wa wanyamapori, lakini wapiiii kila siku Chibu anazidi kupaaa, afisa wanyama pori kazi kulalama tu..

Sasa mmeona mtoke kivingine, muanzishe ushabiki feki! Eti darasa kafunga mwaka [emoji23] [emoji23]

Mnamtia gundu Darasa maana kila anayeshindana au kushindanishwa na Simba lazima aporomoke kimuziki mwisho wa siku..

Watoto wa tandale sisi ni kama Donald Trump... "We know how to Win.."

# WinnersCycle
 
Wasanii Bongo niliosikiliza nyimbo zao kwa kuzirudia rudia ni hawa wafuatao

1. Darasa - Too Much
2. Bill Nas - Chafu Pozi na Ligi Ndogo
3. Mr Blue - Mboga Saba

BTW, Man Fongo nimekosa pa kumweka ila Hainaga Ushemeji inaweza kuwa imebamba kupita ngoma zote Bongo (kwa mtazamo wangu).
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
The King of All Bongo Social Media......[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…