Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Think babu think acha kutetea tumboUsimfanye mwenye taaluma ya udaktari kama Mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Think babu think acha kutetea tumboUsimfanye mwenye taaluma ya udaktari kama Mungu
Hv wanaokwenda ualimu hawana div 1?mwalimu aliyepata div 3 au 4 akaungaunga na kupata degree alingane na pharmacist au ddaktari aliyepata div 1 six..kisa tu wote eti wana degree! ridiculous!
Pia kuna haja ya kubadili mfumo wa salary increment ili mwenye kingi awe anaongezewa kidogo na mwenye kichache awe anaongezewa kingi. Tofauti na wakati huuHabari wanandugu,
Nianze kwa kusema kuwa niipongeze serikali kwa nia nzuri iliyonayo ya kupitia na kupanga upya viwango vya mishahara kwa wafanyakazi wa kada zote.
Kwa muda mwingi tumeshuhudia kutofautiana kwa viwango vya mishahara kutoka fani mmoja kwenda fani nyingine, mfano ualimu, afya, sheria, uhandisi n.k ambapo baadhi ya Kada wamekuwa wakilipwa mishahara mikubwa kuliko wengine ingawa ukiangalia majukumu na mazingira yao ya kufanyia kazi hayatofauti sana.
Kutofautiana huku kwa mishahara kunapelekea baadhi ya wafanya wa Kada Fulani kuwadharau wafanyakazi wa kada nyingine, lakini pia no uharibifu wa pesa kwani kama MTU yule yule (mwalimu) analipwa 20000 na naweza kuishi basi hata huyu mwingine (daktari) akilipwa 20000 ataweza kuishi na kutimiza mahitaji yake. sula hili siyo zuri
katika kuelekea kupanga mishahara upya serikali ifanye utaratibu wa kulinganisha mishahara kwa wafanyakazi wote kwa kutegemeana na viwango vyao vya elimu yaani wenye elimu ngazi ya shahada mshshahara wao ulingane, hali kadhalika ngazi ya diploma na cheti.
By mkulima wa nyanya
Habari wanandugu,

Usiwe bias ....kwanini umesema mtu ni yuleyule, then unaruka unasema eti walipe kwa kuangalia viwango vya elimu, kwani mwenye PhD akilipwa kama wa degree hawezi kuishi?Habari wanandugu,
Nianze kwa kusema kuwa niipongeze serikali kwa nia nzuri iliyonayo ya kupitia na kupanga upya viwango vya mishahara kwa wafanyakazi wa kada zote.
Kwa muda mwingi tumeshuhudia kutofautiana kwa viwango vya mishahara kutoka fani mmoja kwenda fani nyingine, mfano ualimu, afya, sheria, uhandisi n.k ambapo baadhi ya Kada wamekuwa wakilipwa mishahara mikubwa kuliko wengine ingawa ukiangalia majukumu na mazingira yao ya kufanyia kazi hayatofauti sana.
Kutofautiana huku kwa mishahara kunapelekea baadhi ya wafanya wa Kada Fulani kuwadharau wafanyakazi wa kada nyingine, lakini pia no uharibifu wa pesa kwani kama MTU yule yule (mwalimu) analipwa 20000 na naweza kuishi basi hata huyu mwingine (daktari) akilipwa 20000 ataweza kuishi na kutimiza mahitaji yake. sula hili siyo zuri
katika kuelekea kupanga mishahara upya serikali ifanye utaratibu wa kulinganisha mishahara kwa wafanyakazi wote kwa kutegemeana na viwango vyao vya elimu yaani wenye elimu ngazi ya shahada mshshahara wao ulingane, hali kadhalika ngazi ya diploma na cheti.
By mkulima wa nyanya
Kuna tatizo gani hapo wakati huyo Mwalimu ndiye kamfundisha daktari na bado anaendelea kumfundishia watoto wake?Acha madharau bhana.acheni utoto nyinyi!! eti mwalimu alipwe sawa na daktari
Kumb mshahara wa 720000- mwalimu degree ni sawa na 1400000-daktar degree??? we nd unaeskiliza mishahara kijiweni kumbekwa nini mkuu? harafu mi sijajiegemeza sana kwenye mishahara ya madaktari maana mishahara yao haitofautiani sana na ya walimu labda kwa wewe unayeisikiliza vijiweni
South Korea Mwalimu ndio mtu anaelipwa zaidi. na wanaosoma Kozi ya Ualimu ni wale waliofaulu zaidi...
Afya ya mwalimu ilipotetereka, nani aliirekebisha? Tuwe na usawa wenye lengo la kuwepo na motisha kwa kila fani. Kila taaluma ni muhimu.Kuna tatizo gani hapo wakati huyo Mwalimu ndiye kamfundisha daktari na bado anaendelea kumfundishia watoto wake?Acha madharau bhana.