Kuelekea kupanga mishahara upya; Mishahara ilingane kwa kada zote

mwalimu aliyepata div 3 au 4 akaungaunga na kupata degree alingane na pharmacist au ddaktari aliyepata div 1 six..kisa tu wote eti wana degree! ridiculous!
Hv wanaokwenda ualimu hawana div 1?
 
tatizo ninyi mkipata kamwanga kidogo mnajiona kama mnaelewa sana lakini ukimuona kilaza anaongea lazima aseme kuwa mwalimu ni mjinga ndio maana hata mnapotaka kuwapangia mshahara mnawapa kama last selection lakini kwa msomi mzuri anajua who is mwalimu na anamthamini mwalimu kama ngazi yake ya maisha kumbuka huyo daktari ni matokeo mazuri ya mwalimu. Vilaza wote wakijiona wameonja elimu ya chuo wanaanza kuvaa milegezo na kutukana mwalimu na kwa utafiti mzuri kalibia asilimia mia ya wanafunzi walioko vyuo kufaulu kwao waliibiwa mitihani na matokeo yanapotoka huishia kutukana walimu kumbe ni vilaza tu.
 
Pia kuna haja ya kubadili mfumo wa salary increment ili mwenye kingi awe anaongezewa kidogo na mwenye kichache awe anaongezewa kingi. Tofauti na wakati huu
 
South Korea Mwalimu ndio mtu anaelipwa zaidi. na wanaosoma Kozi ya Ualimu ni wale waliofaulu zaidi...
 
 
Nilipoona mlima nyanya ahh,roho ikasita kuchangia,sio mfanyakazi
 
Mmmhh!!!,hii mada wachangiaji wanahasira km nini cjui!!!,mambo ya maslahi acha kabisa.
 
Usiwe bias ....kwanini umesema mtu ni yuleyule, then unaruka unasema eti walipe kwa kuangalia viwango vya elimu, kwani mwenye PhD akilipwa kama wa degree hawezi kuishi?
In short hilo unalolitaka haliwezekani na uache ubinafsi
 
kwa nini mkuu? harafu mi sijajiegemeza sana kwenye mishahara ya madaktari maana mishahara yao haitofautiani sana na ya walimu labda kwa wewe unayeisikiliza vijiweni
Kumb mshahara wa 720000- mwalimu degree ni sawa na 1400000-daktar degree??? we nd unaeskiliza mishahara kijiweni kumbe
 
Ulianza vzr! ila ulivyosema eti mwenye degree ya elimu alipwe sawa na degree ya afya ndo umeharibu.Hakuna nchi duniani inayotoa viwango sawa kwa style hiyo
 
South Korea Mwalimu ndio mtu anaelipwa zaidi. na wanaosoma Kozi ya Ualimu ni wale waliofaulu zaidi...

Hii system ianze na kwetu na graduates wake ndio waanze kulipwa hata 4M

Sio hawa walimu wa sasa
 
Af
Kuna tatizo gani hapo wakati huyo Mwalimu ndiye kamfundisha daktari na bado anaendelea kumfundishia watoto wake?Acha madharau bhana.
Afya ya mwalimu ilipotetereka, nani aliirekebisha? Tuwe na usawa wenye lengo la kuwepo na motisha kwa kila fani. Kila taaluma ni muhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…