Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

Huenda mzee wa kuvuna cheap popularity akafanye yake. Akaongeza muda wa usajili hadi watu wapate vitambulisho vya taifa.

Awamu hii imebobea kwenye kutengeneza matatizo na kujipatia sifa ya kuyatatua.

Haingii akillini kulazimisha usajili wa laini za simu wakati serikali hiyo hiyo imeshindwa kutoa vitambulisho ambavyo lazima viwepo kukamilisha usajili.
 
Serikali imeshindwa hata kutoa namba au labda namba zimewaishia
 
Msiojulikana ushapewa update za namna mambo yatakavyokwenda unajidai mtabiri
 
W
Mimi sio mbinafsi kama wewe, wewe ukiandika jambo mtandaoni ujue linakuhusu.
Mimi nimewasemea watu, kitambulisho nilikipata miaka 2 kirahisi kazini kama mtumishi wa umma, lakini wananchi wengi wamehangaika bila mafanikio.
Wamehangaika lini?
Vitambulisho Vina mwaka wangapi toka vianze kutolewa?
Ifike wakati tuache hii tambia ya kutofuatilia kitu mpaka Ikikalibia kufika mwisho ndio uwanze kufuatilia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siamini kama serikali ina jeuri ya kuzima 50% ya line zote.
A select few, yes, kama hao ambao majina yao yapo registered NIDA ila hawajasajili kwa biometrics.

Ila zote ambazo hazijasajiliwa? Sidhani kama wana jeuri hiyo. Sidhani kama they can afford the consequences.
 

Hapa ndo uwa najilaumu kwa nn nilichukua kadi ya chama cha mapinduzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…