Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

Wananchi katika mikoa mbalimbali ikiwemo Kilimanjaro, Mwanza, Shinyanga na Dsm wamemuomba Rais Magufuli awaongezee muda wa kusajili line za simu kwa njia ya vidole.

Wananchi hao wamedai kwa kiasi kikubwa NIDA ndio kikwazo cha wao kuchelewa kwani wengine wanafuatilia vitambulisho kuanzia mwezi June mwaka jana.

Source ITV habari!

My take; Serikali ya awamu ya 5 ni sikivu!
jina la mkoa ulioanza nao linaweza kutuletea jambo
 
Kwani huamini kwamba mawaziri wanajichanganya, Mhe Rais anabadili kauli, na NIDA wanakesha ofisini, ili kumaliza tatizo la 'ile hela tuma kwa namba hii'?
 
Wananchi katika mikoa mbalimbali ikiwemo Kilimanjaro, Mwanza, Shinyanga na Dsm wamemuomba Rais Magufuli awaongezee muda wa kusajili line za simu kwa njia ya vidole.

Wananchi hao wamedai kwa kiasi kikubwa NIDA ndio kikwazo cha wao kuchelewa kwani wengine wanafuatilia vitambulisho kuanzia mwezi June mwaka jana.

Source ITV habari!

My take; Serikali ya awamu ya 5 ni sikivu!
Sikiliza hii


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kujua, ni faida zipi zitakazopatikana kwa kufungia laini za watanzania milioni ishirini kwa sababu zisizo na mashiko?

Kuna watu wanaishi kwa miamala ya simu.

Kuna watu wanaishi kwa kutumia internet.

Miamala ya benki na biashara yote inahitaji simu!

Kadi za NIDA hakuna. Na simu zinazimwa!

Vitambulisho vya kura na leseni hawataki. Wanataka NIDA. Bila NIDA hakuna kusajili.

Hakuna guarantee kwamba NIDA watatoa namba upesi baada ya laini kufungwa.

Kwahiyo watu wataishi bila mawasiliano kwa muda usiojulikana mpaka pale NIDA watakapojisikia kutoa kadi na namba!

Haya yote yanafanywa kwa ajili ya nani? Kuna motive gani nyuma ya huu uovu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Roho mbaya tu.
Hakuna lingine
 
Je,kuna relationship yoyote Kati ya zoezi la kusajili line kwa alama za vidole na uchaguzi mkuu 2020?
Mwenye maono aniamshe tafadhali
 
Hili zoezi linatakiwa lifanyike ndani ya miaka 3.
Mm siwezi kupoteza siku nzima niko kwenye foleni ya nida bila mafanikio yeyote.
Wacha wazime, potelea pwetee...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu, wakati naongea na ndugu yangu mmoja leo akaniambia amefanikiwa kumaliza process za uandikishaji wakamwambia asubiri baada ya wiki mbili kupata namba za NIDA lakini wakati anaweka doubt yake kuwa leo line yake itazimwa wakamwambia nunua ya TTCL hizo zitaendelea kupewa huduma.

Wakuu kuna ukweli hapa?
 
Kwa akili za Magufuli kupenda kuua sector binafsi ilo linawezekana maana anapenda sana Monopoly angalia kwenye fastjet ndio utaelewa.
 
Kwani kabla ya usajili huu wa National ID, Lain za TTCL zilikuwa zinatumika bila kusajiliwa? Au leo ukienda kununua hiyo lain ya TTCL unaweza kuitumia bila kuisajili?
 
Dah hii mbeleko ni baaab kubwa
Wakuu, Wakati Naongea Na Ndugu Yangu Mmoja Leo Akanambia Ameafanikiwa Kumaliza Process Za Uandikishaji Wakamuambia Asubiri Baada Ya Wiki Mbili Kupata Namba Za NIDA Lakini Wakati Anaweka Doubt Yake Kuwa Leo Line Yake Itazimwa Wakamuambia Nunua Ya TTCL Izo Zitaendelea Kupewa Huduma...

Wakuu Kuna Ukweli Hapa?

Jr[emoji769]
 
Kuna madogo wapo kitaa wamemaliza shule ya msingi na wanapiga misheni town wanategemea simu wapigiwe na mabosi wao wapewe michongo ya kazi je hawa hawaruhusiwi kumiliki simu kama zamani?

Maana nasikia watakaosajilia wengine watakamatwa ni kinyume na sheria hii imekaaje wanasheria? Je kumiliki simu mpaka uwe na miaka 18 kweli?
 
Back
Top Bottom