Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

Suala la kumiliki simu ya mkononi sidhani kama linataka umri fulani, labda kwa wanafunzi itafutwe namna ya kuzitumia hizo simu zao ili waweze kuzitenga na masuala ya masomo.

Mwaka 2018 nilikuwa na shida na dogo mmoja hivi ambaye ni celebrity hapa nchini ila yuko under 18 ila anamiliki simu kwa ajili ya kazi yake sasa leo tukiweka umri wa kumiliki simu tunataka tuwe kizazi cha aina gani.!!
 
Mm changu nilipata bila usumbugu mwaka juzi watanzania ni watu wa kupuuza jambo mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa. Mwaka juzi niliwafata wakanambia kitambulisho kimetoka lakini hakioni, sijawahi wafuata mpaka leo, natumia namba tu. Nasubiri upepo wa line za simu upite, nikifuatilie mpaka nikipate.
 
Dar mmekalia umbea, mnajua gesti zote lakini ofisi za NIDA hamzijui, tutafunga laini, alisikika mlevi mmoja
 
Watoto kuwa na simu kwa nchi zilizoendelea ni muhimu kwa usalama wa mtoto..
 
Ukibahatika kukipata usidhani wote wamepata,kuwa Na akiba ya maneno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado masaa tu tuingie January 21 , 2020 , siku ya kuzima line za simu ambazo hazinasajiliwa kwa alama za vidole kupitia namba za NIDA.

Hata hivyo , hatujawahi kuwa serious na systematic kiasi hicho kutekeleza hilo wanalolisema.

Kuna line ambazo hazijasajiliwa zitapeta mwendo mdundo kama kawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kabla ya usajili huu wa National ID, Lain za TTCL zilikuwa zinatumika bila kusajiliwa? Au leo ukienda kununua hiyo lain ya TTCL unaweza kuitumia bila kuisajili?
TUlisajili kwa kutymia cha mpiga kura enzi hizo
 
Mbona TCRA wameshatangaza leo kuwa watazima kwa awamu. Wamesema teknolojia yao haiwezi zima laini zote milioni 10 kwa mkupuo. Wamesema leo watazima laini laki tisa na ushee.

Pia wamesema wakizima zote kwa mkupuo italete shida kwenye system za NIDA. Watu watajazana NIDA kwaajili ya kupata NIN na matokeo yake system zitakuwa overloaded na kushindwa kutoa huduma. Hivyo, zoezi la kuzima litaendelea kwa awamu. I hope umeelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana utulivu wake ulimfanya asisikiwe na wale mabinti watatu.. na binti aliyefuata alisema anatamani aolewe na muoka mikate wa mfalme
 
Hairuhusiwi ila kuna mazingira huwa inamlazimu atumie tu simu kwa muda, mfano mtoto anakupiga swali gumu na simu ipo si bora umpe tu simu wamalizane na google kuliko kumwingiza mkenge au kusema sijui na wakati ulishamwambia enzi zako hujawahi kushika namba tano kushuka chini!
 
Hata bunge live ilikua kama utani lakini maisha yanaendelea.

Ukiwa hauna cha kupoteza ni rahisi sana kuzungumza. Wala hatujari

Sent using Jamii Forums mobile app
Uamuzi huu hata bunge limeathirika ona wabunge na viongozi wa bunge wanavyo hangaika kupiga clips na kuzirusha mitandaoni, watu wsmeshasahau bunge kabisaaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…