*_BREAKING NEWS_*
MASHINE YA KUFUNGIA LAINI YA TCRA IMEIBIWA[emoji1321][emoji1321]
Ina maana umesajiliwa week hii😁😁😁Nimesajiliwa Nida week 1 baada ya Mtanzania nambari moja enzi hizoo Mhe. Mkwere kusajiliwa[emoji16][emoji16]
Waambie hao wezi waagize kinywaji popote walipo nakuja lipia [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila ile kejeli ya makonda mbaya sana, sujui huwa anawaza nini huyu muheshimiwa! Mara nyumba za kulala wageni, mara michepuko,mara umbea!! Taabu tupu yaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Who care?
Maneno ya makonda ni salam kutoka kwa kiongozi wa nchi.
Yule anamuwakilisha rais.
Kwa hio yake ni maneno y kutoka juu.
Kama mlikuwa hamjui kulimia meno ndio huku sasa
Aah we nawe unamsikiliza Yule wenzio wote tushampuuza siku nyingi tu! Sasa Kati ya Asie na kitambulisho/namba ya nida na Mwenye cheti feki nani alikuwa anashinda muda mwingi gest[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Who care?
Maneno ya makonda ni salam kutoka kwa kiongozi wa nchi.
Yule anamuwakilisha rais.
Kwa hio yake ni maneno y kutoka juu.
Kama mlikuwa hamjui kulimia meno ndio huku sasa
Aah we nawe unamsikiliza Yule wenzio wote tushampuuza siku nyingi tu! Sasa Kati ya Asie na kitambulisho/namba ya nida na Mwenye cheti feki nani alikuwa anashinda muda mwingi gest[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji51] [emoji51] [emoji51]Mtambo wenyewe wa kuzima laini umekwama bandarini
emb tuendelee kula bata [emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wajameni wacheni kushinda(kujihangila) Jf pekee, jaribuni na kusikiliza vyanzo vingine vya habari.Aman iwe nanyi
Mbona hawazimi tiar saa sita saiz
Zimen kama kweli mnaweza
LONDON BOY
Sent using Jamii Forums mobile app
Aah watakuwa wameanza na za dar mpaka wafike huku Mkoani kwangu mtandao wa tigo utakuwa umebadilisha jina na kuitwa goti [emoji16][emoji16][emoji16]KUZIMWA HAIMAANISHI HAZITAKUWA HEWANI.WAMESEMA HAWAWEZI KUZIMA ZOTE KWA WAKATI MMOJA,ILA KUNA AMBAZO TAYARI ZIMESITISHIWA HUDUMA MBALIMBALI IKIWEPO DATA.
Tayari na wewe ni sehemu ya wanafiki hili suala kwa unafiki wa Watanzania hata watoe muongo mzima baado wapo watakaokuja dakika za majeruhi na kuanza lawama,wacha wapewe za uso labda ndio watajielewa,mambo ya kusema vijijini ni porojo tu.Hili nimeliona kwenye suala zima la NIDA. Baadhi tumetimiza/wametimiza wajibu wao kujaza taarifa zote ili wapate vitambulisho au namba lakini kwa sababu za Serikali hawajapata namba ili kusajili line zao.
Basi wale waliofanikiwa hawawafikilii kabisa ndugu zao ambao bado na ndugu zao walioko vijijini. Vijembe na kejeli ndo nyingi badala ya kuungana na kuieleza serikali kuwa iangalie uamuzi wake kwa kina.
Ndugu zangu acheni unafiki. Msidhani kila mara na kila occasion mtakuwa wa kwanza kufanikiwa nyinyi tu. Tusaidiane.
Zinazimwa ila sio zote kwa wakati mmoja na wahusika wa kuzima hizi laini ni mitandao yenyewe tcra ni kama wametoa agizo tu kwa hiyo usitishwaji wa huduma ya hizi simcard mitandao yenyewe ndio inafanya
Sent using Jamii Forums mobile app
DSM haina mkuu wa mkoa Bali Ina muimbaji wa taarabu wa kiume.Ila wanatupeleka puta hawa jamaa sijawahi ona. Ila makonda sio mtu mwenye talanta ya uongozi kwa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaaAah watakuwa wameanza na za dar mpaka wafike huku Mkoani kwangu mtandao wa tigo utakuwa umebadilisha jina na kuitwa goti [emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app