Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

Mkuu mbona ulichokieleza ni tofauti na maelezo ya kibopa wa Tcra ya sa2 usiku?

Kuzima wanazima kwa namna tofauti na ulivyoeleza wewe.

Tafuta clip ya mr Kilaba ya sa2 usiku, halafu u re edit thread yako hii.

Hakuna member anayeheshimika na kukingiwa masikio kama mr Mshana Jr Jf hii.

Washabiki zako hatupendi kitu kinachotoka kwenye horses mouth yako kiwe na argue buana!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji44][emoji15][emoji848][emoji144][emoji87][emoji87][emoji87][emoji144][emoji144][emoji144]
Who care?
Maneno ya makonda ni salam kutoka kwa kiongozi wa nchi.
Yule anamuwakilisha rais.
Kwa hio yake ni maneno y kutoka juu.

Kama mlikuwa hamjui kulimia meno ndio huku sasa

Jr[emoji769]
 
Who care?
Maneno ya makonda ni salam kutoka kwa kiongozi wa nchi.
Yule anamuwakilisha rais.
Kwa hio yake ni maneno y kutoka juu.

Kama mlikuwa hamjui kulimia meno ndio huku sasa
Aah we nawe unamsikiliza Yule wenzio wote tushampuuza siku nyingi tu! Sasa Kati ya Asie na kitambulisho/namba ya nida na Mwenye cheti feki nani alikuwa anashinda muda mwingi gest[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji87][emoji87][emoji848][emoji15][emoji44][emoji23][emoji23][emoji23]
Aah we nawe unamsikiliza Yule wenzio wote tushampuuza siku nyingi tu! Sasa Kati ya Asie na kitambulisho/namba ya nida na Mwenye cheti feki nani alikuwa anashinda muda mwingi gest[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
KUZIMWA HAIMAANISHI HAZITAKUWA HEWANI.WAMESEMA HAWAWEZI KUZIMA ZOTE KWA WAKATI MMOJA,ILA KUNA AMBAZO TAYARI ZIMESITISHIWA HUDUMA MBALIMBALI IKIWEPO DATA.
Aah watakuwa wameanza na za dar mpaka wafike huku Mkoani kwangu mtandao wa tigo utakuwa umebadilisha jina na kuitwa goti [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili nimeliona kwenye suala zima la NIDA. Baadhi tumetimiza/wametimiza wajibu wao kujaza taarifa zote ili wapate vitambulisho au namba lakini kwa sababu za Serikali hawajapata namba ili kusajili line zao.

Basi wale waliofanikiwa hawawafikilii kabisa ndugu zao ambao bado na ndugu zao walioko vijijini. Vijembe na kejeli ndo nyingi badala ya kuungana na kuieleza serikali kuwa iangalie uamuzi wake kwa kina.

Ndugu zangu acheni unafiki. Msidhani kila mara na kila occasion mtakuwa wa kwanza kufanikiwa nyinyi tu. Tusaidiane.
Tayari na wewe ni sehemu ya wanafiki hili suala kwa unafiki wa Watanzania hata watoe muongo mzima baado wapo watakaokuja dakika za majeruhi na kuanza lawama,wacha wapewe za uso labda ndio watajielewa,mambo ya kusema vijijini ni porojo tu.
 
Asante kwa ufafanuzi lakini kumbuka wananchi wametangaziwa kikomo cha muda ni jana saa sita kamili usiku... Labda tuseme kuna shida ya mawasiliano na namna ya kutoa taarifa kwa jamii... Huoni sasa watu wanashangilia kutozimiwa laini zao?
Na kama waliopewa rungu ni mitandao husika.. Hakuna kitu hapo... Wale ni wafanyabiashara mabepari kwao kola thumni ni pato.. Watasuasua sana kwenye hilo zoezi.. Sana sana watazifungia laini ambazo ni inactive or less active kwa muda mwingi
Zinazimwa ila sio zote kwa wakati mmoja na wahusika wa kuzima hizi laini ni mitandao yenyewe tcra ni kama wametoa agizo tu kwa hiyo usitishwaji wa huduma ya hizi simcard mitandao yenyewe ndio inafanya

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Ila wanatupeleka puta hawa jamaa sijawahi ona. Ila makonda sio mtu mwenye talanta ya uongozi kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
DSM haina mkuu wa mkoa Bali Ina muimbaji wa taarabu wa kiume.
How comes mkuu wa mkoa unakua na kauli za dhiaka kwa watu wasiokuwa na hatia? Yani Hadi kazidiwa na DC wa kahama aliegawa mahindi na ndizi kwenye foreni ya NIDA.

Humanity is everything and not humility like Bashite did.
Image_1579505754.jpeg
 
Back
Top Bottom