Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

Nchi zetu za kiafrika ndo maana haziendelei,viongozi ni wasanii sana,wanafanya mambo yao kisanii....oooooh tunazima laini..kumbe ubavu hawana😂😂😂🤣🤣🤣🤣

Na laini yangu inatamba tu
 
Wajameni wacheni kushinda(kujihangila) Jf pekee, jaribuni na kusikiliza vyanzo vingine vya habari.

Je Mr Kilaba wa Tcra, kasema nini sa2 za usiku?

Hiyo ni home work nimekupa kafanye!

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe ni mwalimu wa shule gani utoe hiyo "homework" ?
Kama unayo habari tofauti weka hapa watu waisome. Usicheze na muda na nafasi.
 
[emoji15][emoji848][emoji23]
Nchi zetu za kiafrika ndo maana haziendelei,viongozi ni wasanii sana,wanafanya mambo yao kisanii....oooooh tunazima laini..kumbe ubavu hawana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Na laini yangu inatamba tu

Jr[emoji769]
 
Wa kukuzimia line ni mtandao wa simu na siyo TCRA. Tena siyo kuzima, Ila ni kukufungia kutumia huduma zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TCRA ni kama mgambo Wa jiji Jana nimekutana na mgambo Wa jiji kanikuta nimeshika kuku pale kisutu sokoni akaniuliza shekhe Leo krismasi nikamjibu shekhe na krismas wapi na wapi? TCRA hawana hiyo teknology ya kuzima simu wameumbuka na kwa hili wametoa siri ya serikali haina access ya kuingia kwenye makampuni haya ya simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…