Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuja mdogo wangu. Yaani kama nawaona Du Songo watakavyofuata nyayo za Yanga. 😎😎😎
😀😀Hahahahaha ngoja nimtetee kidogo.
"Atakuwa busy na weekend kujiandaa kwa kesho kazini"
Tano hii ninayoijua Mtani. 😳😳Akila gori ndogo ni 5.
Mtandao usiwe chini tu mtaniTano hii ninayoijua Mtani. 😳😳
Kale kamvua kenu kamepita tayari.Asalaam Tanzania na nje ya Tanzania..Karibu katika burudani ya soka ya kiwango cha juu kilichothibishwa na Shirikisho la Kabumbu Barani Afrika CAF, kutoka kwa Simba SC, WanaLunyasi, Mnyama Mkali Mwituni
Kuelekea Ligi Mabingwa Afrika, Jumapili Agosti 25, 2019 Mabingwa wa Nchi Simba SC, wanawakaribisha UD Songo, kunako Uwanja wa Taifa ukiwa ni mchezo wa marudiano baada ya sare ya kutofungana katika mechi awali ilipigwa nchini Msumbiji.
Kocha Patrick Aussems, amesema Simba SC wapo tayari kufanya kila inavyowezekana katika mchezo huo kufanikisha ushindi dhidi ya UD Songo ili kuweza kufuzu hatua inayofuata.
"Tupo tayari na tunajua tunataka kushinda, tutafanya kila kitu kufanikisha hilo. Tunatakiwa kuwa makini tunajua tunakutana timu nzuri na mchezo utakuwa mgumu lakini TUNAJIAMINI". Amesema kocha Patrick Aussems.
•••Kulitaka Mwana..Kulipewa Mwana
WanaSimba, Wanachama, Mashabiki Kindakindaki na mdau wa kabumbu, maandalizi yote kuelekea mchezo huo yamekamilika, kwahivyo ni jukumu letu kuhakikisha tunajitokeza kwa wingi kuishangilia mwanzo mwisho Simba SC, ambao wataupiga mpira mwingi mno..UD Songo watautafuta mpira kwa Tochi.
Usikose Ukaambiwa..WeAreSimba SC, NguvuMoja This Is Next Level.View attachment 1189396View attachment 1189397
Leo nipo Mtani.Mtandao usiwe chini tu mtani
Dah! 😂😂 hata wewe unaamini Simba inatengeneza mvua yake 🤣🤣🤣! Japo Mvua imepita kiaina.Kale kamvua kenu kamepita tayari.
Kusema kiana tayari umeishasema no kweli.Dah! 😂😂 hata wewe unaamini Simba inatengeneza mvua yake 🤣🤣🤣! Japo Mvua imepita kiaina.