Mtazamaji JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 5,937 Reaction score 1,440 Jan 1, 2012 #1 Wafuatiliaji a wadau wa michezo Ushiriki wetu au ushidnani wetu kwenye hii michezo ukoje? Tuna ttarhet ya medali ngapi? Michezo gani tutashirki/ tutashindana . Kwa ninisio pungufu au zaidi ya idai Wanamichezo gani (majina yao) wataotuwakilisha na rekodi zao zinawaweka kwenye nafasi gani wenye medali Wizara na tasisi zinashughulika na ichezo kweli zimepaga na zimetjitayarisha usnidana au kushiriki? bajeti kiasi gani imeandaliwa na inatagem kutumika na k je kuna wadhamini wowote. Karibuni tujadili
Wafuatiliaji a wadau wa michezo Ushiriki wetu au ushidnani wetu kwenye hii michezo ukoje? Tuna ttarhet ya medali ngapi? Michezo gani tutashirki/ tutashindana . Kwa ninisio pungufu au zaidi ya idai Wanamichezo gani (majina yao) wataotuwakilisha na rekodi zao zinawaweka kwenye nafasi gani wenye medali Wizara na tasisi zinashughulika na ichezo kweli zimepaga na zimetjitayarisha usnidana au kushiriki? bajeti kiasi gani imeandaliwa na inatagem kutumika na k je kuna wadhamini wowote. Karibuni tujadili
Mtazamaji JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 5,937 Reaction score 1,440 Jan 13, 2012 Thread starter #2 Kwa kuwa sisis Tanzania ni watu wa zima moto na washiriki si washindani bado tuko kimya.
Ambitious JF-Expert Member Joined Dec 26, 2011 Posts 2,143 Reaction score 877 Jan 13, 2012 #3 Msafara wa mamba kenge pia wamo.
Mtazamaji JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 5,937 Reaction score 1,440 Jan 31, 2012 Thread starter #4 Ambitious said: Msafara wa mamba kenge pia wamo. Click to expand... Si mpaka sasa hatusikii chochote lakini kwa hiyo siis tumejiandaa kuwa washiriki nasi washindani . Ni aibu sana. Wenztu kenya michezo ni ajira. Michezo kama riadha inaiggiza mamilioni ya $$$$$$. na unia kipato ca watu hata wasio wasomi Michezo ni nyenzo ya uitangza nchi kimatafifa na utalii. Inaonekana sisi michezo ni siasa. Mafanikio ya olympic ni bungeni. ..... Atakayepata data tutawakilishwa na wanimichzo gani , wamejitayrshaje. walishindanishwa lini mpaka kuchaguliwa atumwagie data hapa
Ambitious said: Msafara wa mamba kenge pia wamo. Click to expand... Si mpaka sasa hatusikii chochote lakini kwa hiyo siis tumejiandaa kuwa washiriki nasi washindani . Ni aibu sana. Wenztu kenya michezo ni ajira. Michezo kama riadha inaiggiza mamilioni ya $$$$$$. na unia kipato ca watu hata wasio wasomi Michezo ni nyenzo ya uitangza nchi kimatafifa na utalii. Inaonekana sisi michezo ni siasa. Mafanikio ya olympic ni bungeni. ..... Atakayepata data tutawakilishwa na wanimichzo gani , wamejitayrshaje. walishindanishwa lini mpaka kuchaguliwa atumwagie data hapa
Mtazamaji JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 5,937 Reaction score 1,440 Mar 23, 2012 Thread starter #5 Wakuu ni wanamichezo au michezo gani wameshinda kwenda kushiriki?
Zing JF-Expert Member Joined Jun 24, 2009 Posts 1,767 Reaction score 470 Apr 12, 2012 #6 Mtazamaji Labda kwenye bunge hili ndio tutajua wanaokwenda kushiriki upande wa Tanzania. Michezo ya tanzaniani siasa
Mtazamaji Labda kwenye bunge hili ndio tutajua wanaokwenda kushiriki upande wa Tanzania. Michezo ya tanzaniani siasa
B bibi.com JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 1,153 Reaction score 649 Apr 12, 2012 #7 nimeona kwenye habari za kenya leo, kamati ya kuitangaza Kenya kwenye olimpiki imechangiwa pesa!! sisi bado tumelala na hawa walivyo watasema Mt. Kilimanjaro inaonekana vizuri ukiwa kenya!!!!!
nimeona kwenye habari za kenya leo, kamati ya kuitangaza Kenya kwenye olimpiki imechangiwa pesa!! sisi bado tumelala na hawa walivyo watasema Mt. Kilimanjaro inaonekana vizuri ukiwa kenya!!!!!