Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,440
Wafuatiliaji a wadau wa michezo
Karibuni tujadili
- Ushiriki wetu au ushidnani wetu kwenye hii michezo ukoje?
- Tuna ttarhet ya medali ngapi?
- Michezo gani tutashirki/ tutashindana . Kwa ninisio pungufu au zaidi ya idai
- Wanamichezo gani (majina yao) wataotuwakilisha na rekodi zao zinawaweka kwenye nafasi gani wenye medali
- Wizara na tasisi zinashughulika na ichezo kweli zimepaga na zimetjitayarisha usnidana au kushiriki?
- bajeti kiasi gani imeandaliwa na inatagem kutumika na k je kuna wadhamini wowote.
Karibuni tujadili