mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,344
- 12,472
Hiyo cpp iko moshi sehemu gan mkuu?Ngoja waje vijana wa CPP Moshi
Wanae weredi
Kwani IPO moshi?Hiyo cpp iko moshi sehemu gan mkuu?
Wewe ndiye umeandika..au umeandika kishabiki tu ili nawe ionekane umeandika?Kwani IPO moshi?
Mkuu CPP nilimaanisha 'Clarification from Particular Person' kutokea Moshi. Nikimaanisha kuna watu watakaokupa maana halisi maana hizo ni ofisi zao.Wewe ndiye umeandika..au umeandika kishabiki tu ili nawe ionekane umeandika?
Sasa neno moshi uliliweka la nin?😀Mkuu CPP nilimaanisha 'Clarification from Particular Person' kutokea Moshi. Nikimaanisha kuna watu watakaokupa maana halisi maana hizo ni ofisi zao.
Mkuu au nilikosea kucoment kwenye uzi huu??
Mkuu hapo ulipanic tuSasa neno moshi uliliweka la nin?😀
Mkuu CPP nilimaanisha 'Clarification from Particular Person' kutokea Moshi. Nikimaanisha kuna watu watakaokupa maana halisi maana hizo ni ofisi zao.
Mkuu au nilikosea kucoment kwenye uzi huu??
Hata hahusian na UziMkuu hapo ulipanic tu
Ila mi sikuwa na maana hiyo uliyotaka nikwambie
Mkuu ukiweka uzi usiwe na majibu mfukoni. We uweke tulia watu wauchakate.
Humu siku hizi mtu anaweza uzi anataka mpaka wachangiaji wachangie kama anavyotaka
Tutakuwa Great Sinkers sasa
Duh,nilienda kituo kimoja wakawa hawana Majibu yakutoshaNenda kituo chochote Cha polisi kilicho karibu nawe ukaulize hayo maswali
Mkuu sasa wewe unaweza kuwa PS wanguHata hahusian na Uzi
Najua ulikuwa una maanisha "chuo cha mafunzo ya Polisi moshi"
Duh,nilienda kituo kimoja wakawa hawana Majibu yakutoshaNenda kituo chochote Cha polisi kilicho karibu nawe ukaulize hayo maswali
Nenda kingine au kwa RPC Mambosasa au kamanda Siro IGP atakupa majibuDuh,nilienda kituo kimoja wakawa hawana Majibu yakutosha
Nitajibu randomly ili kukufungua ufahamu na kukupa Lango la kuingilia kulielewa "geshi" la polisi, likely swali no.1 tuanzeHabari za saizi,
Wanajukwaa naombeni mnijulishe mambo kadhaa juu ya @tanpoltz kwa kulinganisha na majeshi mengne ya Polisi huko katika dunia ya kwanza
Tuanze na mambo yafuatayo:
1. Nini maana ya jeshi la Polisi?
2. Yapi majukum ya Polisi?
3. Upi ni wajibu wa Polisi?
4. Mgawanyo wa majukumu au division za Polisi
5. Ukomo /limitations za Polisi kwa wananchi (miiko ya kazi)
NB: Hivi kuna tofauti ya askari Polisi na afisa wa Polisi?
Shukran aiseeNitajibu randomly ili kukufungua ufahamu na kukupa Lango la kuingilia kulielewa "geshi" la polisi, likely swali no.1 tuanze
1. PT ni chombo cha Muungano wa Tanzania kilichoundwa ili kuwahakikishia wananchi usalama wao na mali zao, kudumisha amani na utulivu katika jamii,pia kuzuia, Kubaini na kupambana na uhalifu. Ni chombo cha serikali kilichopewa mamalaka na wajibu wa kuajiri na kuwapangia polisi vituo vya kufanyia kazi na kuratibu maswala yote ya amani na utulivu ndani ya nchi.
"Tunataka jeshi la kisasa"Police Tanzania
Ni moja Kati ya taasisi dhaifu na legelege, inaendeshwa kisiasa bila kufwata sheria, police kuvamia , kuteka, kubambika kesi, kuuwa kwa amri za wanasiasa ni kawaida kabisa kwa jeshi letu, wakuu wa mapolice kuwa makada wa chama tawala , hiyo ni moja Kati ya vitu vinavyotia aibu mno jeshi letu la polisi,
Hakuna wa kumuwajibisha police ,
Tunataka jeshi la polisi la kisasa.
Lenye wataalamu , Kama maswala ya forensic, it na siyo walio feli form 4