Kuelekea Mapinduzi 2020: Wa Omani bado wanaendelea kulalamikia wa Zanzibari

Kuelekea Mapinduzi 2020: Wa Omani bado wanaendelea kulalamikia wa Zanzibari

Asante kwa hii. Sisi Tanzania tulidhani Waarabu wa Zanzibar ni walalamishi, kumbe sio kosa lao bali ni asili yao Oman.

Nimeisoma hiyo makala ya kizungu, naomba nichangie kizungu, kama makala yenyewe
It's good to know that this controversial area of Omani history about the involvement of Oman Arabs in Zanzibar slave trade, is not only, not widely taught in Omani schools, because slavery is “completely absent from Omani textbooks”, but also, the Arabs in Zanzibar, denies, the involvement of Arabs in Zanzibar slave trade, they claim that slave trade in Zanzibar was done by Indians traders are the ones “financed the trade” and Africans “provided the slaves”, so Arabs are not to blame!. The Arabs in Zanzibar, dismiss the 1964 Zanzibar revolution calling it "genocide against Arabs" therefore they are still bitter till todate.
The best way forward to heal the scars of1964 Zanzibar revolution trauma, is the establishment of peace and reconciliation commission like the one of post apartheid South Africa led by Bishop Desmond Tutu.
P
Sasa na wewe Pascal, mwandishi mzima unaandika kiingereza gani hiki? Au huu ni utani?
 
Hadi Leo waarabu ni wabaya sana full dharau full kujiona yaan huwa wanatuona waafrika ni kama mistakes za mungu ktk uumbaji,ttzo la waislamu wengi wanawatetea waarabu wakizani wanatetea uislamu kumbe wanachanganya vitu viwili tofauti yaani kiuhalisia Muarabu si mtu wa kutetewa na muafrika,kama ww ni muafrika halafu unatetea waarabu basi unatatizo angalia Sudani kule wale waarabu wanavyowabagua na kuwatesa wasudani wenzao kisa wanaasili ya Afrika(ngozi nyeusi),nyie endeleeni tu kuwasifia kwa kuhadithiwa tu omba usiwe among Arab community
Wale wanaouana kule Sudani Kusini Ni waNubi wenyewe kwa wenyewe,hakuna Mwarabu pale,
Kagame anowabana wasibuke kisisa ni Waafrika wenzake si waarabu.
Kule D.R.C.Kongo wanauwana kila uchao wenyewe kwa wenyewe
Acha chuki na Watu wasio kuhusu.
Waarabu tuachieni sisi wazanzibari wenyewe,Tunajuana kwa vilemba.
Kama Hamuawataki Waarabu ,Achaneni na wazanzibar.Sisi na waaoman ni ndugu khaliswa,Hakuna nyumba ya mzanzibari utakayoingia ,mjini na mashamba usiyo na uhusiano na muarabu,kwa kuowana ,urafikina ujirani mwema tuu
ndo maana sisi wenyewe tunaishi bila ya kubaguana hapa.
Ni watanganyika ndo wanaoleta ubaguzi huu kwa maslahi yao ya 'divide and rule'
 
Hadi Leo waarabu ni wabaya sana full dharau full kujiona yaan huwa wanatuona waafrika ni kama mistakes za mungu ktk uumbaji,ttzo la waislamu wengi wanawatetea waarabu wakizani wanatetea uislamu kumbe wanachanganya vitu viwili tofauti yaani kiuhalisia Muarabu si mtu wa kutetewa na muafrika,kama ww ni muafrika halafu unatetea waarabu basi unatatizo angalia Sudani kule wale waarabu wanavyowabagua na kuwatesa wasudani wenzao kisa wanaasili ya Afrika(ngozi nyeusi),nyie endeleeni tu kuwasifia kwa kuhadithiwa tu omba usiwe among Arab community
Mkuu, kama hujiewi si Mwarabu tu mtu yoyote atakudharau..

Hapa hatuongelei Warabu hapa tunaongea Wazanzibari wenye asili ya Kiarabu,..

Hawa Wazanzibari wenye asili ya Kiarabu wanatokea Oman, wengi wao tunaishi nao mitaani, tumeowana nao, tuko nao pamoja kwa maisha ya kila siku..

Sultani wa 13 wa Zanzibar alikuwa anaitwa Ali bin Hamoud, huyu alikuwa Mwafrika,sasa nambie ufalme gani unaweza kufanya hivyo..

Chukulia falme za Kingereza, au za Scandinavia iwe imemuweka mtu mweusi awe mfame, Diana Princess wa Wales aliuliwa kwa vile alikuwa na uhusiano na Mwarabu wa Egypty, Diana alionekana anaitia aibu familia ya Kifalme...

Waafrika ni wabaguzi sana, wakati wa Zanzibar inatawaliwa na Sultani,kazi za serikali zilikuwa kwa Wazanzibari wote..

Hivi sasa kazi zinagawiwa kwa mujibu wa rangi ya ngozi yako, mfano Polisi huwezi kumkuta Mwarabu wala Muhindi,jeshini halkadhalika..

Jamii ya kuogopa ni Jamii ya Kihindi, hawa watu, waliletwa na Sultani kule Zanzibari lakini mpaka hii leo hawachanganyiki na Jamii nyengine...

Picha Sultani wa 13 Zanzibar Sultan Ali bin Hamoud.... kama Warabu wa Zanzibar walikuwa wabaguzi kama unavyosema basi huyu jamaa mweusi asingeliweza kuwa Mfalme wao, kuwa Sultan wao

IMG_20191205_073914.jpg
Zanz-Ali_II.jpg
 
Chuki zilikwepo kitambo hata kabla ya Mapinduzi,tatizo waarabu wanatushika masilkio tunaanza kuchukiana lengo lao kurudi madarakani na siku wakirudi madarakani ndio mtaisoma namba vzur maana ubaya wao mnausoma vtabuni tu bado hamjauona bado,nna ndugu yangu amezurura huko uarabuni unaambiwa ni wabaguzi kinoma
Bila shaka chuki zilikuwepo, lakini chuki zimezidi baada ya Mapinduzi ya Zanzibar..

Hivi sasa kuna kazi nyingi tu za Serikali huwezi kupata kama una asili ya Kiarabu, kule Zanzibar wameenda mbali Zaidi, Mzanzibari mwenye asili ya Pemba tabu sana kupata kazi serikalini,

Mzanzibari hawezi kupata kazi kama hana kadi ya CCM,.. Hii inaonyesha wazi kuwa Serikali ya CCM kule Zanzibar ni ya kibaguzi..

Mwarabu hamshiki mtu mashikio, isipokuwa Wazanzibari wameona kuwa Watawala wa sasa yaani CCM Zanzibar wameshindwa kupeleka Zanzibar mbele kimaendeleo, wameshindwa kuwaweka Wazanzibari pamoja, CCM bado wanahubiri Chuki badala ya Umoja
 
Moja katika hotuba za Maalim Seif ameshawahi kusema kuwa Sultan Sayd Said, Sultan wa mwanzo wa Zanzibar alialikwa na Wazanzibari wa siku hizo ili aje awasaidie kuwaondoa Wareno..

Mkuu kauli yako ina utata, Sisi watu weusi tangu tujitawale pale Zanzibar, Zanzibar imeingia katika matatizo uchumi umeshuka, chuki zimeibuka na mengi mengineo
Kumbe wewe Ndugu yangu ni Mzanzibari, basi ntakuwa hapo visiwani mwezi wa pili panapo majaaliwa.
 
Hizi akili huwa tunapewa waafrika ili tujidharau ila uhalisia kwamba Afrika ni moja kati bara lenye umri mdogo sana katika harakati za kimaendeleo yaani Leo hii unataka Zanzibar ya 1964 iwe sambamba na Oman ya 1650? kifupi waarabu wanampango wa kurudi kutawala Zanzibar na siku wakifanikiwa mtakiona cha mtema kuni wanzanzibar wenye asili ya bara maana hii naifananisha na harakati za watutsi kuchukua Rwanda walianza na propaganda kama hizo walipofanikiwa kuchukua Rwanda leo hii wahutu wameminywa mirija yote ya wao kujiongezea ushawishi kisiasa ili wasije ichukua tena Rwanda
wewe moga wa kuzaa lakini ngono unaipenda,
 
Kwani wewe hujui kuwa visiwa vilikuwa pori mpaka Sultan alipokuja? Hakuna mtu aliyejuwa kuna kisiwa pale, hata wavuvi hawakuwahi kufahamu japokuwa waliishi kilomita 25 tuu kutoka visiwani.
History
Zanzibar’s history was greatly shaped by its geography, the prevailing winds of the region placing it directly on the Indian Ocean trade routes and making it accessible to both traders and colonists from Arabia, south Asia, and the African mainland. The first immigrants were the Africans; the next were the Persians, who began to land in Zanzibar in the 10th century and who, over a brief period, became absorbed into the local population and disappeared as a separate group. Their influence was left in the gradual consolidation of disparate villages and rural populations into what came to be recognized as two peoples, the Hadimu and the Tumbatu. This African-Persian population converted to Islam and adopted many Persian traditions. (Even today, most of Zanzibar’s African population calls itself “Shirazi,” in echo of the ancient Persian principality of Shīrāz, from which the earliest Persians came.)
Arabs had the deepest influence on Zanzibar, because the island’s position made it a perfect entrepôt for Arabs mounting slave expeditions into Africa and conducting oceangoing commerce. Arabs from Oman became especially important, for they began establishing colonies of merchants and landowners in Zanzibar. Eventually they became the aristocracy of the island.
The Portuguese then came in the 16th century and conquered all the seaports on the eastern African coast, including Mombasa, the richest and most powerful, as well as such islands as Zanzibar and parts of the Arabian coast, including the Omani capital of Muscat. The purpose of the Portuguese, however, was largely commercial rather than politically imperial, and, when their power dwindled in the course of the 17th century, they left few marks of their stay.
The Omani Arabs, who expelled the Portuguese from Muscat in 1650 and were the leading force against them in the entire region, gradually established at least nominal control over many settlements, including Zanzibar. After a lengthy turmoil of dynastic wars and losses and gains on the African coast, the ruling sultan of Oman, Saʿīd ibn Sulṭān, decided to relocate his capital from Muscat to Zanzibar. The rapid expansion of the slave trade in the late 18th and early 19th centuries, caused by the demand for plantation slaves in North and South America, made Zanzibar central to the slave (as well as the ivory) trade routes into the interior of Africa. Zanzibar itself also had significant resources of coconuts, cloves, and foodstuffs. The sultan of Oman made it his capital in 1832.
Major states, peoples, and trade routes of eastern Africa, c. 1850.
Major states, peoples, and trade routes of eastern Africa, c. 1850.Encyclopædia Britannica, Inc.
In 1861 Zanzibar was separated from Oman and became an independent sultanate, which controlled the vast African domains acquired by Saʿīd. Under the sultan Barghash (reigned 1870–88), however, Great Britain and Germany divided most of Zanzibar’s territory on the African mainland between them and secured economic control over the remaining coastal strip. In 1890 the British proclaimed a protectorate over Zanzibar itself, which lasted for more than 70 years; the sultan’s authority was reduced and the slave trade curtailed. During that time most sultans were aligned with the British. One notable exception was Khālid ibn Barghash, who seized the throne upon the death of his uncle, Ḥamad ibn Thuwayn, on August 25, 1896. The British, interested in installing their own candidate as sultan, issued an ultimatum to Khālid: either stand down by 9:00 AM on August 27 or be at war with Great Britian. Khālid refused to step down, and the Anglo-Zanzibar War began. The brief battle between Khālid’s supporters and the British Royal Navy took less than an hour and is considered the shortest war in recorded history. After Khālid’s defeat, the British-supported Ḥamud ibn Moḥammed was installed as sultan.
    • eastern Africa: imperial partitions, late 19th and early 20th centuries
    • Palace on the harbour, Zanzibar
eastern Africa: imperial partitions, late 19th and early 20th centuriesImperial partitions of eastern Africa, 1881–1925.Encyclopædia Britannica, Inc.
Palace on the harbour, ZanzibarThe former sultan's palace, facing the harbour at Zanzibar, Tanz.Paul Hufner/Shostal Associates

In 1963 the sultanate regained its independence, becoming a member of the British Commonwealth. In January 1964 a revolt by leftists overthrew the sultanate and established a republic. The revolution marked the overthrow of the island’s long-established Arab ruling class by the Africans, who were the majority of the population. In April the presidents of Zanzibar and Tanganyika signed an act of union of their two countries, creating what later in the year was named Tanzania.
This article was most recently revised and updated by Amy McKenna, Senior Editor.
LEARN MORE in these related Britannica articles:
newsletter icon

HISTORY AT YOUR FINGERTIPS
Sign up here to see what happened On This Day, every day in your inbox!


By signing up, you agree to our Privacy Notice.
SpaceNext50

SIMILAR TOPICS
 
Hii inaitwa SLAVE MENTALITY ambayo baadhi ya posters wanayo humu

Nimewauliza hawa wanaotetea hawa Waarabu kuwa, kabla ya kuja hawa waarabu, Zanzibar kulikuwa na nani wameshindwa kujua

Fact remains, tunatatizo kubwa sana la Slave mentality bro
Kwanza hoja ya kuwa Warabu walipokuja Zanzibar kulikuwa na watu au la, hiyo ondoa. Kichwani kwako..

Yule anaekata PORI, shamba ndio la kwake, Wazungu walipokwenda MAREKANI, CANADA, AUSTRALIA kote huko walikutana na WENYEJI, lakini kwa vile wao ndio waliokata mapori na kuzifanya hizo nchi ziendelee, Nchi zimekuwa zao..

Historia fupi kuhusu Zanzibar kabla ya kuja Warabu, Unguja na Pemba ni visiwa vilivyokuwa vikitumiwa na makabila ya pembezoni mwa bahari ya Afrika Mashariki

Makabila kama WASEGEJU , WADIGO, WAZARAMO ,makabila ambayo yalikuwa yanategemea Uvuvi kwa maisha yao ya kila siku,

Wavuvi walikuwa wanasafiri na kukaa nje ya mkaazi yao kwa muda mrefu,Wavuvi huwa wanatafuta sehemu ili wapumzike, na kutengeneza vifaa vyao, mfumo ambao unaitwa kulala DAGO,

Utamaduni huo unatumiwa mpaka leo na Wavuvi kama WAKOJANI, Unguja na Pemba ilikuwa inatumika kama sehemu ya kulala DAGO.,sio mkaazi ya watu

Ukiachana na Wavuvi, Wasafiri wengi walipita Zanzibar,kwa mapumziko, kwa kuchukua maji, kwa matengenezo ya vyombo vyao, nk.. Hata Vasco Dagama kapita Zanzibar

Zanzibar ilikuwa sehemu kubwa na muhimu kwa Wafanya Biashara, Watokao Bara Ulaya na kwenda Bara la Asia..

Wasafiri walianza kufanya makaazi yao Zanzibar, Wavuvi walala DAGO, wengine wakaamua kufanya makaazi Zanzibar,

watu wakaanza kuzaliana, Warabu, Wahindi, Wazungu, Wachina, Waafrika, wakaoana na kuchanganya damu,Utamduni wa kiswahili ukaundwa, na ndio maana utakuta Zanzibar watu wake wengi wamechanganya. Damu..

Alipoingia Mreno, wanahistoria wanaitwa Portuguese era, katika bahari ya Hindi,ndio Wazanzibar ambao labda walikuwa watu Elfu (30,000), waliotawanyika tawanyika walimuomba Mwarabu aje kupiga kambi Zanzibar kuwalinda na Wareno.

Kumbuka kuwa Mwarabu ndio walikuwa wafalme wa bahari ya Hindi, walisafiri na kufanya biashara miaka mingi kabla ya Mreno na Wazungu wengine..

Hiyo ni historia fupi ya Zanzibar, maswali yanakaribishwa
 
Ivi rais wa tz bara anaweza fanya ziara Zanzibar yote kama anazofanya za huku mikoani na kusikiliza kero live na kutumbua majipu hapo hapo au kuwapigia simu wakuu na kujieleza live.??
atafanya lakini hana umwamba wa kujimwambafai kule!
 
Mkuu Chabuso, nikukuita wewe ni muongo na mrongo ukituletea urongo humu, utaniona kama nakuvunjia heshima, hivyo kukuita jina la heshima, hii hoja yako kuwa Sultan Said Seyyid Saidi kabla ya kuhamia Zanzibar makaazi yake yalikuwa KILWA!, sii kweli.

Historia ya Kilwa ni ya longi kuliko historia ya Sultan wa Zanzibar. Wenyeji wa asili wa Kilwa, ni Wabantu kama walivyo wenyeji asili wa Zanzibar ni Wahadimu. Wakati huo kilwa haikuwa kisiwa ilikiwa sehemu ya Lindi, mtawala wa Kilwa akiitwa Hassan Bin Amiri Alimuli.

Sultan wa Kilwa ni Sultan Ali Bin Hassan ambaye ni mtoto wa Sultan wa Persia aliyezaliwa baada ya mwanamke mtumwa kubwakwa na mama yake akageuzwa suriya. Watoto halisi wa Sultani huyu walimtenga huyu mtoto ndipo baba yake akamuhamishia Kilwa.

Akalinunua kitapeli eneo la Kilwa toka kwa Hassan Bin Amiri kwa bei ya kitambaa tuu cha kulizunguka eneo hilo. Mara tuu baada ya kulinunua kitapeli hilo eneo, akachimba mtaro kwenye mkondo wa bahari na kujenga ukuta. Hassan bin Amiri aliposhutuka kuwa ametapeliwa, akataka kurudisha kile kitambaa arudishiwe eneo lake, akakuta mtaro na ukuta wa mkaw, akashindwa!.

Hakuna wakati wote Sultan Said Seyyid aliishi Kilwa, ile 1832, Sultan Said Seyyid alitoka Oman straight Zanzibar kwa kupitia Lamu.

Wenyeji asili wa Zanzibar ni Wahadimu, wabantu, Waarabu ni wavamizi tuu, ila hawa Waarabu wa sasa ni Wazanzibari wazaliwa.

Waliofanya Mapinduzi ni ukoo wa Mwinyi Mkuu.

P
Mwana JF, Paskali, anakutakia wewe na familia yako HERI YA SIKUKUU YA MAPINDUZI MATUKUFU
YA ZANZIBAR!
Paskali
 
Back
Top Bottom