Kuelekea Mapinduzi 2020: Wa Omani bado wanaendelea kulalamikia wa Zanzibari

Sasa na wewe Pascal, mwandishi mzima unaandika kiingereza gani hiki? Au huu ni utani?
 
Wale wanaouana kule Sudani Kusini Ni waNubi wenyewe kwa wenyewe,hakuna Mwarabu pale,
Kagame anowabana wasibuke kisisa ni Waafrika wenzake si waarabu.
Kule D.R.C.Kongo wanauwana kila uchao wenyewe kwa wenyewe
Acha chuki na Watu wasio kuhusu.
Waarabu tuachieni sisi wazanzibari wenyewe,Tunajuana kwa vilemba.
Kama Hamuawataki Waarabu ,Achaneni na wazanzibar.Sisi na waaoman ni ndugu khaliswa,Hakuna nyumba ya mzanzibari utakayoingia ,mjini na mashamba usiyo na uhusiano na muarabu,kwa kuowana ,urafikina ujirani mwema tuu
ndo maana sisi wenyewe tunaishi bila ya kubaguana hapa.
Ni watanganyika ndo wanaoleta ubaguzi huu kwa maslahi yao ya 'divide and rule'
 
Mkuu, kama hujiewi si Mwarabu tu mtu yoyote atakudharau..

Hapa hatuongelei Warabu hapa tunaongea Wazanzibari wenye asili ya Kiarabu,..

Hawa Wazanzibari wenye asili ya Kiarabu wanatokea Oman, wengi wao tunaishi nao mitaani, tumeowana nao, tuko nao pamoja kwa maisha ya kila siku..

Sultani wa 13 wa Zanzibar alikuwa anaitwa Ali bin Hamoud, huyu alikuwa Mwafrika,sasa nambie ufalme gani unaweza kufanya hivyo..

Chukulia falme za Kingereza, au za Scandinavia iwe imemuweka mtu mweusi awe mfame, Diana Princess wa Wales aliuliwa kwa vile alikuwa na uhusiano na Mwarabu wa Egypty, Diana alionekana anaitia aibu familia ya Kifalme...

Waafrika ni wabaguzi sana, wakati wa Zanzibar inatawaliwa na Sultani,kazi za serikali zilikuwa kwa Wazanzibari wote..

Hivi sasa kazi zinagawiwa kwa mujibu wa rangi ya ngozi yako, mfano Polisi huwezi kumkuta Mwarabu wala Muhindi,jeshini halkadhalika..

Jamii ya kuogopa ni Jamii ya Kihindi, hawa watu, waliletwa na Sultani kule Zanzibari lakini mpaka hii leo hawachanganyiki na Jamii nyengine...

Picha Sultani wa 13 Zanzibar Sultan Ali bin Hamoud.... kama Warabu wa Zanzibar walikuwa wabaguzi kama unavyosema basi huyu jamaa mweusi asingeliweza kuwa Mfalme wao, kuwa Sultan wao

 
Bila shaka chuki zilikuwepo, lakini chuki zimezidi baada ya Mapinduzi ya Zanzibar..

Hivi sasa kuna kazi nyingi tu za Serikali huwezi kupata kama una asili ya Kiarabu, kule Zanzibar wameenda mbali Zaidi, Mzanzibari mwenye asili ya Pemba tabu sana kupata kazi serikalini,

Mzanzibari hawezi kupata kazi kama hana kadi ya CCM,.. Hii inaonyesha wazi kuwa Serikali ya CCM kule Zanzibar ni ya kibaguzi..

Mwarabu hamshiki mtu mashikio, isipokuwa Wazanzibari wameona kuwa Watawala wa sasa yaani CCM Zanzibar wameshindwa kupeleka Zanzibar mbele kimaendeleo, wameshindwa kuwaweka Wazanzibari pamoja, CCM bado wanahubiri Chuki badala ya Umoja
 
Kumbe wewe Ndugu yangu ni Mzanzibari, basi ntakuwa hapo visiwani mwezi wa pili panapo majaaliwa.
 
wewe moga wa kuzaa lakini ngono unaipenda,
 
Kwani wewe hujui kuwa visiwa vilikuwa pori mpaka Sultan alipokuja? Hakuna mtu aliyejuwa kuna kisiwa pale, hata wavuvi hawakuwahi kufahamu japokuwa waliishi kilomita 25 tuu kutoka visiwani.
History
Zanzibar’s history was greatly shaped by its geography, the prevailing winds of the region placing it directly on the Indian Ocean trade routes and making it accessible to both traders and colonists from Arabia, south Asia, and the African mainland. The first immigrants were the Africans; the next were the Persians, who began to land in Zanzibar in the 10th century and who, over a brief period, became absorbed into the local population and disappeared as a separate group. Their influence was left in the gradual consolidation of disparate villages and rural populations into what came to be recognized as two peoples, the Hadimu and the Tumbatu. This African-Persian population converted to Islam and adopted many Persian traditions. (Even today, most of Zanzibar’s African population calls itself “Shirazi,” in echo of the ancient Persian principality of Shīrāz, from which the earliest Persians came.)
Arabs had the deepest influence on Zanzibar, because the island’s position made it a perfect entrepôt for Arabs mounting slave expeditions into Africa and conducting oceangoing commerce. Arabs from Oman became especially important, for they began establishing colonies of merchants and landowners in Zanzibar. Eventually they became the aristocracy of the island.
The Portuguese then came in the 16th century and conquered all the seaports on the eastern African coast, including Mombasa, the richest and most powerful, as well as such islands as Zanzibar and parts of the Arabian coast, including the Omani capital of Muscat. The purpose of the Portuguese, however, was largely commercial rather than politically imperial, and, when their power dwindled in the course of the 17th century, they left few marks of their stay.
The Omani Arabs, who expelled the Portuguese from Muscat in 1650 and were the leading force against them in the entire region, gradually established at least nominal control over many settlements, including Zanzibar. After a lengthy turmoil of dynastic wars and losses and gains on the African coast, the ruling sultan of Oman, Saʿīd ibn Sulṭān, decided to relocate his capital from Muscat to Zanzibar. The rapid expansion of the slave trade in the late 18th and early 19th centuries, caused by the demand for plantation slaves in North and South America, made Zanzibar central to the slave (as well as the ivory) trade routes into the interior of Africa. Zanzibar itself also had significant resources of coconuts, cloves, and foodstuffs. The sultan of Oman made it his capital in 1832.

Major states, peoples, and trade routes of eastern Africa, c. 1850.Encyclopædia Britannica, Inc.
In 1861 Zanzibar was separated from Oman and became an independent sultanate, which controlled the vast African domains acquired by Saʿīd. Under the sultan Barghash (reigned 1870–88), however, Great Britain and Germany divided most of Zanzibar’s territory on the African mainland between them and secured economic control over the remaining coastal strip. In 1890 the British proclaimed a protectorate over Zanzibar itself, which lasted for more than 70 years; the sultan’s authority was reduced and the slave trade curtailed. During that time most sultans were aligned with the British. One notable exception was Khālid ibn Barghash, who seized the throne upon the death of his uncle, Ḥamad ibn Thuwayn, on August 25, 1896. The British, interested in installing their own candidate as sultan, issued an ultimatum to Khālid: either stand down by 9:00 AM on August 27 or be at war with Great Britian. Khālid refused to step down, and the Anglo-Zanzibar War began. The brief battle between Khālid’s supporters and the British Royal Navy took less than an hour and is considered the shortest war in recorded history. After Khālid’s defeat, the British-supported Ḥamud ibn Moḥammed was installed as sultan.
eastern Africa: imperial partitions, late 19th and early 20th centuriesImperial partitions of eastern Africa, 1881–1925.Encyclopædia Britannica, Inc.
Palace on the harbour, ZanzibarThe former sultan's palace, facing the harbour at Zanzibar, Tanz.Paul Hufner/Shostal Associates

In 1963 the sultanate regained its independence, becoming a member of the British Commonwealth. In January 1964 a revolt by leftists overthrew the sultanate and established a republic. The revolution marked the overthrow of the island’s long-established Arab ruling class by the Africans, who were the majority of the population. In April the presidents of Zanzibar and Tanganyika signed an act of union of their two countries, creating what later in the year was named Tanzania.
This article was most recently revised and updated by Amy McKenna, Senior Editor.
LEARN MORE in these related Britannica articles:

HISTORY AT YOUR FINGERTIPS
Sign up here to see what happened On This Day, every day in your inbox!


By signing up, you agree to our Privacy Notice.


SIMILAR TOPICS
 
Hii inaitwa SLAVE MENTALITY ambayo baadhi ya posters wanayo humu

Nimewauliza hawa wanaotetea hawa Waarabu kuwa, kabla ya kuja hawa waarabu, Zanzibar kulikuwa na nani wameshindwa kujua

Fact remains, tunatatizo kubwa sana la Slave mentality bro
Kwanza hoja ya kuwa Warabu walipokuja Zanzibar kulikuwa na watu au la, hiyo ondoa. Kichwani kwako..

Yule anaekata PORI, shamba ndio la kwake, Wazungu walipokwenda MAREKANI, CANADA, AUSTRALIA kote huko walikutana na WENYEJI, lakini kwa vile wao ndio waliokata mapori na kuzifanya hizo nchi ziendelee, Nchi zimekuwa zao..

Historia fupi kuhusu Zanzibar kabla ya kuja Warabu, Unguja na Pemba ni visiwa vilivyokuwa vikitumiwa na makabila ya pembezoni mwa bahari ya Afrika Mashariki

Makabila kama WASEGEJU , WADIGO, WAZARAMO ,makabila ambayo yalikuwa yanategemea Uvuvi kwa maisha yao ya kila siku,

Wavuvi walikuwa wanasafiri na kukaa nje ya mkaazi yao kwa muda mrefu,Wavuvi huwa wanatafuta sehemu ili wapumzike, na kutengeneza vifaa vyao, mfumo ambao unaitwa kulala DAGO,

Utamaduni huo unatumiwa mpaka leo na Wavuvi kama WAKOJANI, Unguja na Pemba ilikuwa inatumika kama sehemu ya kulala DAGO.,sio mkaazi ya watu

Ukiachana na Wavuvi, Wasafiri wengi walipita Zanzibar,kwa mapumziko, kwa kuchukua maji, kwa matengenezo ya vyombo vyao, nk.. Hata Vasco Dagama kapita Zanzibar

Zanzibar ilikuwa sehemu kubwa na muhimu kwa Wafanya Biashara, Watokao Bara Ulaya na kwenda Bara la Asia..

Wasafiri walianza kufanya makaazi yao Zanzibar, Wavuvi walala DAGO, wengine wakaamua kufanya makaazi Zanzibar,

watu wakaanza kuzaliana, Warabu, Wahindi, Wazungu, Wachina, Waafrika, wakaoana na kuchanganya damu,Utamduni wa kiswahili ukaundwa, na ndio maana utakuta Zanzibar watu wake wengi wamechanganya. Damu..

Alipoingia Mreno, wanahistoria wanaitwa Portuguese era, katika bahari ya Hindi,ndio Wazanzibar ambao labda walikuwa watu Elfu (30,000), waliotawanyika tawanyika walimuomba Mwarabu aje kupiga kambi Zanzibar kuwalinda na Wareno.

Kumbuka kuwa Mwarabu ndio walikuwa wafalme wa bahari ya Hindi, walisafiri na kufanya biashara miaka mingi kabla ya Mreno na Wazungu wengine..

Hiyo ni historia fupi ya Zanzibar, maswali yanakaribishwa
 
Ivi rais wa tz bara anaweza fanya ziara Zanzibar yote kama anazofanya za huku mikoani na kusikiliza kero live na kutumbua majipu hapo hapo au kuwapigia simu wakuu na kujieleza live.??
atafanya lakini hana umwamba wa kujimwambafai kule!
 
Mwana JF, Paskali, anakutakia wewe na familia yako HERI YA SIKUKUU YA MAPINDUZI MATUKUFU
YA ZANZIBAR!
Paskali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…