ukweliusemwekweupe
Member
- May 2, 2026
- 64
- 55
Noa kichinjio chako tukawathibitishie wapinzani kuwa CCM ni chama chitendeke. (Kikongwe) na kinapendwa na watanzania.Kwahiyo??
Wataje hao watanzania wanaoipenda ccm kufa kupona!Noa kichinjio chako tukawathibitishie wapinzani kuwa CCM ni chama chitendeke. (Kikongwe) na kinapendwa na watanzania.
98% ya kura alizopata Samia 29Oct.Wataje hao watanzania wanaoipenda ccm kufa kupona!
Wewe ulipiga?98% ya kura alizopata Samia 29Oct.
Ni haki yangu ya Kikatiba hiyo mkuu.Wewe ulipiga?
Kwahiyo mkijihesabu mnaona mnafikisha hizo asilimia?Ni haki yangu ya Kikatiba hiyo mkuu.
Safiiii sana.. Umejua kunifurahiaha leo kwa maswali mazuri mkuu. Nimetambua kwanini kijiji cha isimani na majirani zao wanamaisha magumu sana. Sababu ni kwamba hawana akili kabisaaaaaaaKwahiyo mkijihesabu mnaona mnafikisha hizo asilimia?
Nimejiuliza uzi ukianzishwa tu wanaibukia wapi! Imebidi nifukunyue ujuzi! Nataka kujua kwanini haki yao ya kikatiba watuhusishe na tusiohusika kwenye hilo jambo lao!Safiiii sana.. Umejua kunifurahiaha leo kwa maswali mazuri mkuu. Nimetambua kwanini kijiji cha isimani na majirani zao wanamaisha magumu sana. Sababu ni kwamba hawana akili kabisaaaaaaa
Tena nahisi hiyo haki yao ya kikatiba ni katiba ya chama chao. Maana sisi wengine hatupatiNimejiuliza uzi ukianzishwa tu wanaibukia wapi! Imebidi nifukunyue ujuzi! Nataka kujua kwanini haki yao ya kikatiba watuhusishe na tusiohusika kwenye hilo jambo lao!
Ni mateso!Tena nahisi hiyo haki yao ya kikatiba ni katiba ya chama chao. Maana sisi wengine hatupati
Sana, tutafika tumechoka.Ni mateso!
Kabisa.Kwahiyo mkijihesabu mnaona mnafikisha hizo asilimia?
Pole sanaKabisa.