mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Mwarabu gani huyo?MITANO TENA...
MWARABU ANACHELEWESHA MAENDELEO.
Shida ni Tff tu au hata vilabu vyetu?Hatuna mipango, tumekalia ulaji. Hivi ni kigezo gani kimetumika kumteua Milambo kuwa mkurugenzi wa ufundi, kigezo gani kimetumika kumchagua julio kocha wa vijana, kigezo gani kimetumika kumchagua Kidau kuwa katibu mkuu TFF...
Ukiondoa Azam na Mtibwa hakuna timu iliyowekeza kwa vijanaShida ni Tff tu au hata vilabu vyetu?
Watu mnalaumu bure tu...
Commoro bado hakuna mpira, wapo vile vile( ligi yao).
Kilichotokea wamewachukua wachezaji wote wenye asili ya huko na kuwapa uraia.
Tanzania hilo swala haliwezekani, wamegoma kutoa uraia pacha.
Ila wachezaji huko nje ni wengi tu.
HiV
Wenzetu walipeleka vijana wengi ulaya kucheza mpira,na ndio maana wachezaji wao wapo vzr.Commoros ni visiwa vilivyojirani sana na nchi yetu lakini kwa miaka mingi walionekana mpira sio fani yao kabisa. Ambapo vilabu vyao kufungwa 8,7,6,5 na simba,Yanga hata na Mtibwa nilikuwa jambo la kawaida..
Sie siasa nyingi na kudanganyana kwenye magazeti oh pira biriani or pira mpapaso...wakati wanojua kupapasa mpira jana tumewaona. Calm kn the ball hamna papara yoyote.Hatuna mipango, tumekalia ulaji .
Hivi ni kigezo gani kimetumika kumteua Milambo kuwa mkurugenzi wa ufundi, kigezo gani kimetumika kumchagua julio kocha wa vijana, kigezo gani kimetumika kumchagua Kidau kuwa katibu mkuu TFF.
Nafasi zote ni za kutangazwa na watu kuomba lakini kwa sababu ya ushikaji wamekaa wanapeana nafasi na hizo ndio nafasi nyeti kwa maendeleo ya soka.
Kama tutatengana na Zanzibar baada ya miaka mitatu hatutawafikia kisoka.
Its a disgrace kabisaaa....yaani nchi ya watu less than a million wanaenda afcon sie tunaendeleza siasa za kijinga.Commoros ni visiwa vilivyojirani sana na nchi yetu lakini kwa miaka mingi walionekana mpira sio fani yao kabisa.
Ambapo vilabu vyao kufungwa 8,7,6,5 na simba,Yanga hata na Mtibwa nilikuwa jambo la kawaida.
Timu yao ya taifa ilikosa hata friendly match kutokana na ubovu wao.
Ila leo wanahitaji point moja tu kwenye mechi mbili na hiyo endapo Kenya itashinda mechi zote mbili ikiwemo Kenya kuifunga misri.
Kiufupi nchi iliokuwa haipewi hata mwaliko wa mapinduzi cup imefuzu afcon mapema sana.
Nini wao wanafanikiwa sisi tunakishindwa?
Pia hata kesi ya Gambia
Mbinu katika medani za kivita zinaruhusiwa ili mradi upate ushindiUnawazungumzia Gambia hawa hawa waliowalaza wachezaji wa Gabon airport bila ya kupokeelewa?View attachment 1628668