Kuelekea mchezo wa Taifa Stars dhidi ya Harambee Stars AFCON2019, Nchi gani Kung'ara?

Kuelekea mchezo wa Taifa Stars dhidi ya Harambee Stars AFCON2019, Nchi gani Kung'ara?

Kocha awaanzishe Nyoni na Domayo leo tutashinda
IMG-20190627-WA0005.jpeg
 
Mambo ya siasa yanawatoa watz relini tunatamani timi yetu ishinde ila tabia za kibinafsi za waasiasa kutafutia maujiko na wanasiasaa hao ambao tunawajua ni wakatili na wanafki hawana maslahi yeyote na uchungu wa taifa hili alafu wajidai kwa juhudi zao wamefanikisha NOOOOOO heri wakenya watufunge tuuuuu
Kuishangilia team ya nchi yako unafiki? Au kuna mambo ya siasa yanakutoa relini.
 
Back
Top Bottom