Kuelekea mechi ya CAFCC | Simba SC dhidi ya ASEC Mimosas SC, mechi kubwa kwa timu kubwa

Kuelekea mechi ya CAFCC | Simba SC dhidi ya ASEC Mimosas SC, mechi kubwa kwa timu kubwa

Endeleeni Kunidharau, Kunipuuza na Kutoniamini ila Mimi ndiyo Mightier ( alias ) Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person Ndugu.
Wewe ndio Gent... Popomaaa🚶🚶
 
Ngajapo,

Simba haijawahi kuifunga Asec Mimosas. Na kama unavyosema ni kweli kwamba eti Simba ilishinda hapa 1-0 na ikapoteza marudiano Abidjan 4-3 Simba si wangekua wamesonga mbele kwa faida ya goli la ugenini?

Maana ingekua wamepata magoli matatu ugenini!!!!
Acha ujinga wewe! Kama huna kumbukumbu tulia uelimishwe.
 
Back
Top Bottom