Kuelekea Mechi Ya Jumamosi

soka La Africa lipo tofauti kabisa na la Ulaya usikariri...Sisi pia tulijipa matumaini kama hayo wakati tunaenda kucheza nyumbani kwa JS Saoura ila kiukweli kwa nature ya soka la Kiafrica ni ngumu sana kwa timu kushinda ugenini...matokeo chanya kwa Vita ni sare na sio ushindi coz hawezi na hatoweza kamwe!!
 
Kwani Simba yuko Uefa?..
Juve kashinda home
Arsenal kashinda home
Barca kashinda home
Kweli nyie NYUMA MWIKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…