TFF hapo wanahusika na pia Serikali waandike namba kwenye viti waache longo longo uwanja bora ule yaani ukikata tiketi inatoka na seat namba hata ukichelewa utakaa kwenye kiti chako itaondoa mambo ya kienyeji kuwahi saa sita uwanjani mechi ya jioni...