LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,491
- 12,560
Mechi iliyopita kati ya stars na ug mlijionea utapeli wa hawa watu, waliuza ticket nyingi zaidi ya uwezo wa uwanja. Watu walijaa hata pa kuchungulia hamna ile ilikuwa ni hatari
Hawa watu wazbitiwe haraka
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa watu wazbitiwe haraka
Sent using Jamii Forums mobile app