Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
- Thread starter
- #61
Kipato kinaleta majivuno. Huyu si ambaye palisemwa mwaka jana kuwa ni kocha safi kwa vile timu haina hata hela lakini inashinda? Mapema tu mmesahau? [emoji23][emoji23][emoji23]
Kiukweli tumekaa kimya muda mrefu na kusubiria sana pasipo ongea ukweli. Ukweli ni kwamba Mwinyi Zahera hawezi kufundisha mpira wa miguu. Baada ya mechi ya Leo Zahera anapaswa kufukuzwa.