Kuelekea mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika, Yanga SC dhidi ya Pyramids FC, kocha aishtukia mbinu ya Yanga

Kipato kinaleta majivuno. Huyu si ambaye palisemwa mwaka jana kuwa ni kocha safi kwa vile timu haina hata hela lakini inashinda? Mapema tu mmesahau? [emoji23][emoji23][emoji23]
Kiukweli tumekaa kimya muda mrefu na kusubiria sana pasipo ongea ukweli. Ukweli ni kwamba Mwinyi Zahera hawezi kufundisha mpira wa miguu. Baada ya mechi ya Leo Zahera anapaswa kufukuzwa.
 
Ganzi ya nini kwenye facts?
Ni mabingwa wa nchi wa kihistoria 27 times!
Kila nchi ina bingwa wake wa kihistoria. Al Ahly ni bingwa wa kihistoria wa CAF!
Tumieni historia kutinga makundi
 
Hazifutiki
Sijasema zinafutika, ila hazisaidii lolote kufuta uchungu wa sasa wa matokeo ya Yanga katika Ligi ya Bara na katika Kombe la Shirikisho Afrika. Sijaona historia ya kizazi kile inasaidiaje wananchi wa kizazi hiki kumvumilia Zahera kuendelea kuwa kocha wa Yanga
 
Uchungu upi nafuu? Wa round ya kwanza au huu?
 
Uchungu upi nafuu? Wa round ya kwanza au huu?
Sijajua hii anayozongwa Zahera ni raundi ya ngapi. Hivi vitu havihitaji hasira πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€. Unapigwa na mwarabu nje ndani halafu Ruvu Shooting anakusubiri Bara! Mbaya zaidi hatua hii na ile zote hazina zawadi ya hela za CAF, sana sana michango ya wananchi imepotea bure kwenye nauli
 
Naangalia marudio hapa, naona kaseja anataka kurudia kosa lile lile alilofanya jana
 
Hela sio shida tena. Nyie endeleeni kumtemegea Mo 100%.
Club yenu haijaanza kuingiza pesa ya kuweza kujiendesha. Sasa mna ufadhali was Mo.
Mara paap! Billion 20 zimeisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…