Kuelekea mechi ya marudiano robo fainali send off league: Mashabiki wa Al Masry tukutane hapa

Kuelekea mechi ya marudiano robo fainali send off league: Mashabiki wa Al Masry tukutane hapa

holoholo wa mbulahati kwa lulenge naitakia Al masly ushindi mnono kwa mkapa
downloadfile-29.jpg
 
Mimi ni shabiki kindakindaki wa simba. Ila niseme tu ukweli sina uhakika wa 100% kama timu yangu itapindua matokeo siku hiyo, kutokana tu na ule uzembe tulioufanya kwenye mechi ya awali.
 
RIP MWALIMU NYERERE BABA WA TAIFA.
Ulitufundisha kulipenda Taifa.
Kuwa wazalendo.
Kuipenda nchi yetu.
Kupigana kwaajili ya Tanzania.
Kuanzisha hadi jeshi la Kufundishwa Uzalendo nk.

Bahati mbaya sana Taifa linazidi Kuteketea.
Wamezaliwa vijana Vichaa kwenye Taifa Ulilolipigania kwa Jasho Damu na kifo.

BURIANI BABA WA TAIFA.
 
"Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana jeuri na wenye kujiamini, si vijana waoga, akina "ndiyo bwana mkubwa", vijana wanaohoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya kitanzania.

Tunataka vijana waasi dhidi ya mifumo kandamizi, ubwana na ufisadi katika Taifa"


Mwl J.K. Nyerere, Rais wa Kwanza wa Tanzania
 
Huna elimu Huna Exposure ukienda kule Cairo au Casablanca.

Kwa Wale waarabu utoke Tanzania uka cheze na Ahly. Huwezi kutegemea Support ya Zamareck au Raja.

UPUMBAVU NI MZIGO
 
Ndio maana mara nyingi mashabiki wengi wa yanga wameonekana hakuna kitu kichwani. (Mazuzu)

Msemaji akasema wenye akili ni wawili tu.
 
Wacha ushamba wewe , tangu lini na wewe ukawa shabiki wa Al Masry il hali hata Sudani hujawahi kuishi achia mbali Misri yenyewe. Hata kama Simba ni Makolo bado ni timu ya Tanzania, lazime uipe moyo wa kushinda na kuiletea heshima nchi yetu. Wakifungwa basi neda kafurahie pembeni mafichoni, siyo hadharani..
 
Back
Top Bottom