Kuelekea mechi ya simba na yanga, Serikali imetoa onyo kali kwa mashabiki

Kifurukutu

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
4,641
Reaction score
6,694
Serkali kupitia msemaji wa wizara ya habari na michezo Yusuph singo ametoa onyo kali kwa wale mashabiki watakao ingia uwanja wa taifa kushuhudia mtanange mkali kati ya Simba na Yanga, kwamba kwa sasa serikali haitahusika kuiadhibu club husika dhidi ya mashabiki wake watakaoleta fujo na kufanya uharibu wa aina yoyote uwanjani

hivyo watahusika moja kwa moja kwa kumwajibisha shabiki aliyeleta fujo uwanjani
kwani kwa sasa uwanja wa taifa unaCCTv camera zaidi ya 4000 hivyo atakaye leta fujo atabainika tu!

Ni rai yangu sasa kama mshabiki wa mnyama Simba
Refa atakayehusika na mchezo huu pia awe na uwezo wa kimataifa na kuchezesha mpira kwa kufuata sheria 17 za soka!

Kila la Kheri Simba Sc ndio msimu wetu huu.
 
Kumbe mnajijua kuwa ugonjwa wenu ni kungo' oa vitieeeeeee!!!!! Hamasishaneni sana ili msipotezane maana safari hii mtapotea wengi saanaa .... Camera 4000 si mchezo......
 
Serkali kupitia msemaji wa wizara ya habari na michezo Yusuph singo ametoa onyo kali kwa wale mashabiki watakao ingia uwanja wa taifa kushuhudia mtanange mkali kati ya Simba na Yanga, kwamba kwa sasa serikali haitahusika kuiadhibu club husika dhidi ya mashabiki wake watakaoleta fujo na kufanya uharibu wa aina yoyote uwanjani

hivyo watahusika moja kwa moja kwa kumwajibisha shabiki aliyeleta fujo uwanjani
kwani kwa sasa uwanja wa taifa unaCCTv camera zaidi ya 4000 hivyo atakaye leta fujo atabainika tu!

Ni rai yangu sasa kama mshabiki wa mnyama Simba
Refa atakayehusika na mchezo huu pia awe na uwezo wa kimataifa na kuchezesha mpira kwa kufuata sheria 17 za soka!

Kila la Kheri Simba Sc ndio msimu wetu huu.
UNAJIDANGANYA
 
Mikia ishaanza makelele ya woga. Magoli ya mkono hayajaanza karne hii, kwa uelewa wangu, yalikuwepo tangu enzi za kina Pele, ila hufungwa na manguli tu.

Maradona vs England
Henry vs Ireland
Koscienly vs Burnley
Tambwe vs Simba
Messi vs Espanyol
Raul vs Leeds

Kwote huko hakuna aliyeng'oa viti ukiondoa mitoto mijinga ya sokoni...shuuuba mit!
 
04411ccd8a4cbf7937c7065e8472fdcc.jpg
 
hahahaha kama nawaona mashabiki wa Simba wakichomoa viti mubashara...
 
Mikia ishaanza makelele ya woga. Magoli ya mkono hayajaanza karne hii, kwa uelewa wangu, yalikuwepo tangu enzi za kina Pele, ila hufungwa na manguli tu.

Maradona vs England
Henry vs Ireland
Koscienly vs Burnley
Tambwe vs Simba
Messi vs Espanyol
Raul vs Leeds

Kwote huko hakuna aliyeng'oa viti ukiondoa mitoto mijinga ya sokoni...shuuuba mit!

Asante kwa kumbukumbu nzuri. Sio kung'oa viti tu, hata wachezaji kumpiga refa kwa staili ya akina Mwasika na Cannavaro haikufanyika kabisa kwenye michezo hii uliyotaja.

Lazima tuige mazuri na kuondoa uhuni wote uwanjani.
 
Back
Top Bottom