Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,641
- 6,694
Serkali kupitia msemaji wa wizara ya habari na michezo Yusuph singo ametoa onyo kali kwa wale mashabiki watakao ingia uwanja wa taifa kushuhudia mtanange mkali kati ya Simba na Yanga, kwamba kwa sasa serikali haitahusika kuiadhibu club husika dhidi ya mashabiki wake watakaoleta fujo na kufanya uharibu wa aina yoyote uwanjani
hivyo watahusika moja kwa moja kwa kumwajibisha shabiki aliyeleta fujo uwanjani
kwani kwa sasa uwanja wa taifa unaCCTv camera zaidi ya 4000 hivyo atakaye leta fujo atabainika tu!
Ni rai yangu sasa kama mshabiki wa mnyama Simba
Refa atakayehusika na mchezo huu pia awe na uwezo wa kimataifa na kuchezesha mpira kwa kufuata sheria 17 za soka!
Kila la Kheri Simba Sc ndio msimu wetu huu.