Kuelekea Mechi ya Simba SC dhidi ya AS Vita Club, hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika 'Hatoki Mtu'

Kuelekea Mechi ya Simba SC dhidi ya AS Vita Club, hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika 'Hatoki Mtu'

Imani nyingine hizi ni kumjaribu Mungu na matumizi mabovu ya akili.

Kama Simba huwa haifungwi uwanja wa Taifa basi wangekuwa ndio mabingwa wa Sport pesa mwaka huu, msidhani Watanzania ni wajinga au wamesahau.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania sio wajinga, iLa wewe ni mjinga tena kilaza grade A

Happiness is a lifestyle
 
Bana Congo tuliamua kuwawakea baridi kwahivyo walipoa na wakatepeta kama mate ya mlevi..Kila mmoja tuna Style yake ya kumtomasa..[emoji23][emoji23][emoji23]

Vyura mmetulia leo kama mko kwenye foleni ya kupima Tezi Dume...!

Hivi wameondoka BanaCongo ama bado... This Is Simba SC Bro.
Shikamoo mtani!
 
Back
Top Bottom