Bana Congo tuliamua kuwawakea baridi kwahivyo walipoa na wakatepeta kama mate ya mlevi..Kila mmoja tuna Style yake ya kumtomasa..[emoji23][emoji23][emoji23]
Vyura mmetulia leo kama mko kwenye foleni ya kupima Tezi Dume...!
Hivi wameondoka BanaCongo ama bado... This Is Simba SC Bro.
Unaroho ngumu..Chura [emoji196]umezamishwa kwenye Dimbwi Iringa na Dar lakini bado unanyosha mkono..!Kosa lako ni Kiherehere[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]