luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Wafanye vyovyote lakini Do Or Die Walianza kwa Mbabane, Nkana, Js Saoura, Al Alhy na hawakufua dafu.Wa Tanzania sio wazalendo kabisa kila media ukifungua yaan waandishi wa habari za michezo wengi wana amini simba inafungwa na vita ....sijui wanapenda sana kuona simba ikifungwa... Kiukweli kufanya hivyo ni wazi tuna washusha morali wachezaji wa club ya simba
Vyura wanateseka sana na hii Simba.Hivi toka tumeanza michuano hii ya ligi ya mabingwa afrika 2018/2019, hivi huoni kinachofanyika? Huko kujipa moyo ni kupi?
Nyie endelea kufuga [emoji196][emoji196][emoji196] pale bwawani..SimbaNguvuMoja
Hivi matajiri ni Simba au Mo Dewji ndio tajiri? Simba ina asset gani zaidi ya like gofu pale msimbazi?Kulitaka Mwana..Kulipewa Mwana
Matajiri na Vigogo wa soka nchini Simba SC kesho watachapa Wakongo na washirika wao..SimbaNguvuMoja
Hivi matajiri ni Simba au Mo Dewji ndio tajiri? Simba ina asset gani zaidi ya like gofu pale msimbazi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo huoni makampuni yanavyofirisika?Kama unakiri kuwa Mo ni tajiri sasa yeye amewekeza Njombe Mji? Halafu hivi hujajua tu kuwa Simba SC ni Kampuni..!
Mkuu endelea kuchangisha tu huko kwako, hatufanani na nyie asilan.SimbaNguvuMoja
MO hajaanza kuwekeza Mikia,uliza Singida UTD.Kama unakiri kuwa Mo ni tajiri sasa yeye amewekeza Njombe Mji? Halafu hivi hujajua tu kuwa Simba SC ni Kampuni..!
Mkuu endelea kuchangisha tu huko kwako, hatufanani na nyie asilan.SimbaNguvuMoja
Mo mashamba ya mkonge serikali wameyachukua..hati kaweka bond bank $250m..Mzee baba anataka hati..kimbembeMkuu Matola Gari ndo limewaka usitarajie kufulia Simba SC, kila mwaka mambo yatazidi kuongezeka
Nia ni kuifanya Simba kuwa kwenye level za Alhy, TMazembe kiuwekezaji au zaidi.