MarhabaaHivi upooo shikamoo mdakachozi
Mechi iko pale pale mzee baba mbona mm sina taarifa?? Wkt wakiahirisha mechi lazima niambiwe kwanza ndo taarifa iende kwa waandishi wa habari za michezo
Sent using Jamii Forums mobile app
Yote kheri tu ilimradi mkono uende kinywaniLabda wewe ni rais wa TFF au refarii wa mchezo...tehtehtehte
Kikosi hatari sana hiki angalia hapo katikati palivyochafuka kikosi cha kumuuwa TP mazembe FT SIMBA 3 MBAO HAWAJULIKANIKikosi Cha mauwaji kwakweli mbao mtatusameheeeeeeView attachment 1058985
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah nakutenga vipi mmMarhabaa
Nipo,we ndio unanitenga siku hizi!
Nakusalimia tu mm hivi jana mlikua mnashangilia niniWacha weeeee! Macho na masikio yangu yapo Morogoro kuamini hii kauli Mtani.
Saa 1600hrs Uwanja wa jamhuri morogoro hiyo shekheSawa...sasa mechi ni saa ngapi na uwanja upi???
Hajacheza Musa mrefuSijui kwa nn huwa simwamini dida