Kuelekea mechi ya 'TPL' Simba SC dhidi ya Mbao FC, Moto wa Mnyama Kuendelea Kuwaka

Kuelekea mechi ya 'TPL' Simba SC dhidi ya Mbao FC, Moto wa Mnyama Kuendelea Kuwaka

Manunuzi FC aka viporo 10 dah TFF nyie kiboko. Yaani mtu anaandaliwa mazingira mpaka inaudhi.
 
Manunuzi FC aka viporo 10 dah TFF nyie kiboko. Yaani mtu anaandaliwa mazigira mpaka inaudhi.
Jiandaeni kulalamika zaidi..Kwakuwa mlichukua Kombe miaka 3.. Simba Tutachukua Kombe miaka 6-10, tutawatesa mno..Hongera TFF

This Is Simba SC
 
Manunuzi FC aka viporo 10 dah TFF nyie kiboko. Yaani mtu anaandaliwa mazigira mpaka inaudhi.
Nani kakuambia viporo ni kuandaliwa kushinda??Kwani wakati ule wakati tukishinda mechi zote tunakuwa nyuma yenu point 5 mfano mngeshinda zote hadi mmalize ligi na kuwa mabingwa sisi tukiwa na viporo 20 je ingekuwa na shida kwenu!?shida sio viporo kaka,shida kila MTU ashinde mechi zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunanunua Yanga mbovu pamoja dola na chuma chakavu [emoji23] [emoji23]
 
Moto wa Mnyama Mkali Simba SC, Mabingwa wa Nchi kuendelea Kuwaka tena kwenye mechi ya Ligi Kuu Tanzania TPL, dhidi ya Mbao FC kutoka jijini Mwanza.

Simba SC pamoja na kukusanya mapato ya alama tatu tatu kutoka kila timu hasa katika mzunguko huu wa mwisho, imemaliza maandalizi yake ya mwisho hivyo kujiweka tayari kwa mchezo huo siku ya Jumapili kwenye Uwanja wa Jamhuri Stadium mkoani Morogoro.

•••Kulipewa Mwana...Kulitaka Mwana

Kikosi cha Simba SC, Mnyama Mkali chini ya Kocha Patrick Aussems kipo tayari kwa kipute hicho na kimeaahidi kufanya vema na kuweza kuibuka na ushindi hivyo kukusanya alama tatu sambamba na burudani ya aina yake.

Kikosi cha Simba SC ambacho kinaupiga mpira mwingi sana Tanzania kwa mechi za ligi kuu na za Kimataifa, kitaingia kwa tahadhari kwani Mbao FC walibahatisha kuchafua ubao mzunguko wa kwanza hivyo kwa maandalizi yaliyofanywa klabu ya Simba SC ni dhahir Mbao zitachanika.View attachment 1058457View attachment 1058458
TP Mazembe wapo kwenye ligi yao. Ahly vile vile. Tujiulize wanafanyaje wasiwe na Viporo vingi sana huku wanashiriki Club Bingwa ya Africa?
 
TP Mazembe wapo kwenye ligi yao. Ahly vile vile. Tujiulize wanafanyaje wasiwe na Viporo vingi sana huku wanashiriki Club Bingwa ya Africa?
Simple,ili usiwe na viporo unatakiwa upange ratiba kwa mfumo wa kalenda ya Fifa..mfumo ambao unazingatia uwepo wa mechi za kimataifa za vilabu na nchi,pia makombe madogo ya ndani kama FA Cup.Mifumo hii tunaweza kuwaiga wenzetu ulaya ila huku hatuzingatii,nadhani ni kwa sababu ushiriki wetu kimataifa haufikii ngazi za juu kabisa za mashindano ndio maana tunapuuzia,ratiba ilitakiwa iwe imepangwa tangu Mwanzo zile tarehe mwakilishi wa nchi anakuwa na mechi za ligi zinakuwa hazipo na hiyo unaacha wazi hadi tarehe ya fainali bila kujali kama timu yenu itafika huko au lah.Sisi hatuko tayari kufanya hivi.Lakini siwalaumu,labda Siku moja timu ya nchi kama Croatia ikiingia Uefa Champion league Final tunaweza shuhudia na yenyewe ikiwa na viporo.Sijui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom