OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umetisha mkuuMwaka juzi kagera sugar, mwaka jana kagera shuga ala! Watoto wadogo mtusumbue kila uchao. Safari hii mmekula za uso mkalale huko! Hadi ndizi leo zitawashinda kula. Nyaambaf!!
Wasalimie hapo dampoPole mikia..mnaanikiza vimechi vya mchangani...AS Kagera sugar wako vizuri mechi tatu wameshinda mfululizo na babu Nyoso ndani Kagere na Mbrazil wavalisheni pampas...
Ndioooo leo ni furaha tu jamaa wamechapika vibaya mnooooYaani hilo moja, limekuharibia mkuu, lakini hongera kwa kuelekea kwenye ubashiri bomba..NguvuMoja
Naona leo mpo ugenini nchini Bukoba mnacheza na Club Athletic Du Kagera Sugar.
Naona kama wamefungwa Simba nguvu Moya
Huyo anaevuta mkia ni YANGA au DANGA..?Baada ya mechi Simba SC dhidi ya Kagera Sugar...Msimamo uko hivi kwa sasa..!View attachment 1216659
Alisikika mnywa komoni mmoja,kilabuni mwambegereNyie Vyura mna Wenge.. Na mnaigopa Simba SC balaa, na safari tunawapiga Tano..!
Yanga nyuma mbele mwikoBaada ya mechi Simba SC dhidi ya Kagera Sugar...Msimamo uko hivi kwa sasa..!View attachment 1216659