Kuelekea mechi ya 'VPL' Kagera Sugar dhidi ya Simba SC, Wamezoea Lakini Leo Tunao!

Kuelekea mechi ya 'VPL' Kagera Sugar dhidi ya Simba SC, Wamezoea Lakini Leo Tunao!

Mwaka juzi kagera sugar, mwaka jana kagera shuga ala! Watoto wadogo mtusumbue kila uchao. Safari hii mmekula za uso mkalale huko! Hadi ndizi leo zitawashinda kula. Nyaambaf!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umetisha mkuu
 
Baada ya mechi Simba SC dhidi ya Kagera Sugar...Msimamo uko hivi kwa sasa..!
FB_IMG_1569513861109.jpeg
 
Mohamed Hussein a.k.a. Shabalala anatakiwa abadilishiwe namba ya kucheza sasa.
Shabalala acheze Kama Mshambuliaji, analijua Goli vizuri.
Kuliko hata huyo wa brazili nadhani.
M. Hussein should play as goal striker, and not defender, just try him.
 
Back
Top Bottom