Kuelekea mechi ya 'VPL' Kagera Sugar dhidi ya Simba SC, Wamezoea Lakini Leo Tunao!

Kuelekea mechi ya 'VPL' Kagera Sugar dhidi ya Simba SC, Wamezoea Lakini Leo Tunao!

20' Shioub anafanya vitu vya utamu akwenda anapiga Ooooo laaaaaa Kona

Anapiga Ajibu.. Inakuja juuuu lakini golikipa anauwahi na kudaka
 
Kwa mara kwanza Kagera Sugar wanafanya shambulizi na kuzaa kona isiyo matunda
 
26' Kagera wanapata faulo...Inapigwa lakini Simba SC wanaokoa

Ilikuwa hatari sana lango la Simba SC
 
30' Tshabalala anakwenda anapiga krosi, Kagereeeeeee anakosaaaaaa

Kagera Sugar 0-1 Simba SC
 
Shioub kwake Kanda...Ananyanyua mbele eeeeee gooal kick.
 
Haya sasa mechi ilichezwa jana nyumbani, huko kagera wako kufanya marudio tu
 
Kagera Sugar wanapata faulo..Inapigwaaa, mabeki wa Simba wanakaa imara.

Wanajaribu kujenga mashambulizi lango la Simba
 
42' Zawadi Mauya anapewa kadi ya Njano baada ya kumchezea faulo mbaya Ajibuu.

Kagera Sugar wamepanik hatari baada kufungwa 2 mpaka sasa
 
45+2'

kuelekea kuwa mapumziko Uwanja wa Kaitaba Stadium

Naaaaaaaaaaaaaaam mpira ni mapumziko ambapo Simba wanatoka uwanjani wakiwa mbele ya mabao mawili bila majibu.
 
Kipindi cha pili kinakaribia kuanza uwanja wa Kaitaba Stadium..!

Naaaaaaaaaaaaaaam kipute kimenoga Simba Vs Kagera Sugar
 
50' Deo Kanda anapunguza mabeki nakwenda kwa kasi..Lakini anafanyiwa faulo..Unapigwa mpira unakuwa unatoka nje wakurushwa
 
Back
Top Bottom