Kuelekea mechi ya VPL' Kariakoo Derby | Yanga SC na Simba SC, Huku Pira Biriani kule Pira Gimbi

Kuelekea mechi ya VPL' Kariakoo Derby | Yanga SC na Simba SC, Huku Pira Biriani kule Pira Gimbi

Tunawaomba msitupe viti uwanjani kesho
hqdefault.jpg
 
Duh mkuu ulipotea sana jukwaani,
Nileteeeen Chama.
Nileteeeen Chama.
UTO kama UTO. Watakoma.
Hakuna shida mkuu Da Gladiator huenda kocha wa Simba SC alisoma muda fulani Cuba nadhani umenielewa sana hapo..

Triple C.. kiungo mshambuaji mwenye uwezo wa kutema mate kulia na kufukia kushoto.

Watapigwa UTO na mganga wao kutoka Msumbiji
 
list ya simba itakuwa hivi
1. hardware firewall
2.software firewall
3.VLAN
4. windows defender
5. Kaspersky antivirus
6. Router
7. fiber cable
8. 1TB switch
9. VPN
10. Packet snifer
11. 1Tflop CPU
 
Mzee kwenye league unafahamu uliambulia almost patupu.

Sasa msimu mwingine tena huu hupati hata point 1.

Jiandae ki-psychology-a tu mkuu 4G hizi zitakuangukia
Mkuu nimerudi ..Tuliishia kwenye 4G kwa sasa ni kumalizia tu...
 
Back
Top Bottom