Simba atashinda
Mnyama anakufa kesho, hapa Tuisila pale mkukoko tunombe wanatokaje wanatokaje?
Simba 0 Yanga 2
Kuna wasiwasi kule Jangwani kesho kumpiga refa au kumfukuza kocha..[emoji23][emoji23]Tunawaomba msitupe viti uwanjani kesho View attachment 1620871
Hakuna shida mkuu Da Gladiator huenda kocha wa Simba SC alisoma muda fulani Cuba nadhani umenielewa sana hapo..Duh mkuu ulipotea sana jukwaani,
Nileteeeen Chama.
Nileteeeen Chama.
UTO kama UTO. Watakoma.
Mkuu nimerudi ..Tuliishia kwenye 4G kwa sasa ni kumalizia tu...
Wakina nan ?!Baada ya mechi utasikia tumefungwafungwaje?!!