Kuelekea mechi ya VPL' Kariakoo Derby | Yanga SC na Simba SC, Huku Pira Biriani kule Pira Gimbi

mpango uliopo tunaanza na pira biriani ili kuua njaa ya mashabiki kipindi cha pili tunakuja na style ya kuwafanya uto wautafute mpira (pira VPN)
 
Simba hii yenye fundi wa mpira Chama ifungwe na timu na pira magimbii? Nitashangaa hadi ......
 
Simba hii yenye fundi wa mpira Chama ifungwe na timu na pira magimbii? Nitashangaa hadi ......
Chama kasha thibitisha kwenye IG yake Leo hato cheza ,ila Ajibu atatutoa kimaso maso wanasimba msiogope
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…