sabosabo
JF-Expert Member
- Dec 16, 2012
- 2,050
- 5,066
Mimi pia namkubali sana Kakolanya,jamaa yupo vizuri, sema kocha anamuelewa sana ManulaLeo tunataka kakolanya aanze maana ameonyesha kitu cha tofauti kwenye match za kirafiki imefika mda sasa aishi akae kando but simba ushindi leo lazima