Kuelekea mechi ya VPL, Simba SC dhidi ya Azam FC, desturi ya ushindi inaendelea

Leo tunataka kakolanya aanze maana ameonyesha kitu cha tofauti kwenye match za kirafiki imefika mda sasa aishi akae kando but simba ushindi leo lazima
Mimi pia namkubali sana Kakolanya,jamaa yupo vizuri, sema kocha anamuelewa sana Manula
 
leo ndio leo asemae kesho ni muongo ule mtanange wa ligi kuu ya vodacom kati ya simba na azam ndio leo wananchi wanasema simba leo kaingia cha kike anakula mkono we unasemaje
 
Leo ni ushindi wa kishindo kama kawaida ya Mnyama, hajawahi kutuangusha.
Simba nguvu moja
Simba bingwa 2019/2020
 
Wananchi gani wanaota hizo ndoto za shetani?
leo ndio leo asemae kesho ni muongo ule mtanange wa ligi kuu ya vodacom kati ya simba na azam ndio leo wananchi wanasema simba leo kaingia cha kike anakula mkono we unasemaje
 
Simba haina kitu chochote wanashinda kwa kutembeza hongo tu. tatizo azam kumejaa wanazi wa simba, leo utashangaa wanajifungisha makusudi. SIKU ZOTE MECHI YA SIMBA NA AZAM MATOKEO YANAPANGWA ,
 
Mechi ya Leo, Kati ya Simba na Azam ndiyo mechi ngumu zaidi katika ligi ya VPL.
Hawa ndio waliojihakikisha nafasi mbili zajuu.
Wengine wanapambania nafasi za chini huko.
 
Simba haina kitu chochote wanashinda kwa kutembeza hongo tu. tatizo azam kumejaa wanazi wa simba, leo utashangaa wanajifungisha makusudi. SIKU ZOTE MECHI YA SIMBA NA AZAM MATOKEO YANAPANGWA ,
Leta ushahidi
 
Tuko pamoja
Simba haina kitu chochote wanashinda kwa kutembeza hongo tu. tatizo azam kumejaa wanazi wa simba, leo utashangaa wanajifungisha makusudi. SIKU ZOTE MECHI YA SIMBA NA AZAM MATOKEO YANAPANGWA ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…