hiyo jezi walibadilishana na mchezaji wa Yanga siku ya mechi,ila anasimuliaga muziki wa yanga.
hivi yule msudani sijui msomali nani vile simuoni siku hizi.ila majina ya wachezaji hapo juu mhhhSimba Vs Mtibwa iwe hivi
1. Manula
Kakolanya ana mkosi wa kufungwa kila mechi.
2.Kapombe
3.M.Hussein (tshabalala)
4.Mlipili
5.Wawa
6.Mkude
7.Dilunga
8.Fraga
9.Kagere
10.Chama
11. Kanda
Sent using Jamii Forums mobile app
yaani wakifungwa wanaliaga sana mashabiki wa Simba kama wameibiwa kariakoo simu Iphone 6 ,yaani hawana uvumilivu kabisa ,hawajui suala lao limeingia bungeni kwenye kumbukumbu kuwa simba anabebwaa.Mi Namungo alivoonewa vile siukuwa na hamu tena na Marefa .Leo Simba akipoteza tena ndio utajua vizuri idadi ya makocha waliopo Tanzania........kila mtu ataponda kivyake.
Alladin Shiboubhivi yule msudani sijui msomali nani vile simuoni siku hizi.ila majina ya wachezaji hapo juu mhhh
Ulitabiri Sahihi kabisahuyo mlipili sahau, atapangwa yule tall mbrazil anaekimbia kama anasukumwa kisa umri, Simba tumefeli sana!
Sent using Jamii Forums mobile app